Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kuna mda upako unanishukia sio wa nchi hii jamani namwambia Mungu wangu nakupenda sana yaani sana nikiingia huko heineken nitakuwa naiona kwa picha jamani acha acha tu nijinywee huku naendelea kukusifu [emoji16][emoji16]Haaaaaaaaaaahhhh shoga usiidanganye kuokoka at tht age!uongo mtupu!mi hapana !sio mlev wala mnnywaj !ila nikiamua nakuuuuuuuuuuunywaaaaaaa!CHA!na stress za nchi hii