D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
- #161
Sawa ahsanteKweli,au wine utakuwa poaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ahsanteKweli,au wine utakuwa poaaaaa
Mwanamke anaekunywa pombe nyeupe nampenda sana hahahahaha kuna kitu kinaonhezeka kwenye mwili wake ila nisiri yangu siwez kukitaja
Simulizi bila gambe ni kama kuangalia movie ya kifilipino bhanaa....Hahaha kunywa baadae bana,ngoja kwanza tuingize ingize chochote kitu
Ila hilo simulizi nalitaka [emoji23]
Sipati picha siku tumekutana hujaoga wala kupiga mswaki... ntatumia nguvu wallah[emoji8][emoji8][emoji8]
Yesuuuuuuuu! Shem Mungu anakuona ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa hapa ofisini nimeishiwa sina hata k kvant cha backupSimulizi bila gambe ni kama kuangalia movie ya kifilipino bhanaa....
Me nikiwaga hivo naanza kiutani tani kuongelea Ka bia taratiiibu.Then inakaa Sawa sikuSawa ahsante
Babuuu[emoji28][emoji28]una janguu eeh?![emoji85][emoji85]Sipati picha siku tumekutana hujaoga wala kupiga mswaki... ntatumia nguvu wallah
Oooh sawaMe nikiwaga hivo naanza kiutani tani kuongelea Ka bia taratiiibu.Then inakaa Sawa siku
Sana wanaume tunapenda sana mnywe vitu tofauti,,sio kila siku vijuice vyenu hvyo vi savannah[emoji23] [emoji23]hahhahahahahahahah! last week tulikua escape one...tukaagiza bombadier!et wtu wakatukubali kinoma!lol una yako
Katika ubora wenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa hapa ofisini nimeishiwa sina hata k kvant cha backup
Basi tufanye evening,..au?[emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa hapa ofisini nimeishiwa sina hata k kvant cha backup
Aiseeee...kama namuona joliejolie anavyokamatiaga nyagiSana wanaume tunapenda sana mnywe vitu tofauti,,sio kila siku vijuice vyenu hvyo vi savannah[emoji23] [emoji23]
Mimi mwanamke akiwaanakunywa nyagi namuheshimu sana[emoji23] [emoji23]
hahahahah aiseee !dah nacheeeeka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa hapa ofisini nimeishiwa sina hata k kvant cha backup
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hazijaiva tu nije kupata supu?Yesuuuuuuuu! Shem Mungu anakuona ujue
Wifi bado 3 haikai???[emoji12]Katika ubora wenu
Ngoja niendelee na imaginations zangu kwanza...Babuuu[emoji28][emoji28]una janguu eeh?![emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna supu hapa..vimekaangwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hazijaiva tu nije kupata supu?
stor itanoga tena kweli kwasababu mda huu ndio ipo kwenye peak kama hit songBasi tufanye evening,..au?[emoji28]