Kweli siku hazifanani

Kweli siku hazifanani

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sitakiiii kufwa na hamu zako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siwezi labda itokee tu
 
Mh mlikuwa wote tabata siamini yupo mbona labda mnapishana tu hahaha eti sijawahi mtunuku si unajua bongo movie tunajifanya wabebez kumbe hamna chochote hata kujuana hatujuani
Hahah mbona juzi nilikua nae tabata anasema hujawahi kumtunuku[emoji23] [emoji23]

Toka jolie amuandame na umri sijamuona tena humu,,kaenda wapi?
 
Mh mlikuwa wote tabata siamini yupo mbona labda mnapishana tu hahaha eti sijawahi mtunuku si unajua bongo movie tunajifanya wabebez kumbe hamna chochote hata kujuana hatujuani
Hahah halafu majibu yako wewe navyoyaonaga humu kuna uwezekano umeolewa kabisa wewe,,hongera sana shunila[emoji23]
 
Sema kweli mshipa mm sijawahi kukutumia pm jamani we unanichunia kama masuper star wa jf wasiojibu pm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe hujawahi nitumia pm hata siku moja.
 
Sijaolewa mie hazard ebu usinipotezee fursa ujue watu wakashindwa kunifungukia shunie mm nikakosa mume
Hahah halafu majibu yako wewe navyoyaonaga humu kuna uwezekano umeolewa kabisa wewe,,hongera sana shunila[emoji23]
 
Back
Top Bottom