Kweli siku hazifanani

Kweli siku hazifanani

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Umeanza basi na uvuruge wako kila siku nakwambia asprin ni wa dada angu sakayo wewe anakufaa mzigua wako tu
Hahahah...! Njoo nikutoe kimasomaso, maana naona Asprine walikupora..!
 
Umeanza basi na uvuruge wako kila siku nakwambia asprin ni wa dada angu sakayo wewe anakufaa mzigua wako tu
Hahahah! Mzigua mchepuko tuuh...! Njia kuu iko wazi aliwekwa mama T ikamshinda.
 
Back
Top Bottom