Kweli Simba babalao

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Unajua kwanini, Pitia threads karibia zote humu jukwaani, pitia michango ya mtu mmoja mmoja utagundua klabu inayozungumzwa kwa kwa zaidi ya 90% Ni Simba.

Inazungumzwa kwa mazuri, ubaya,lawama, matusi ni simba. Hii inamaanisha ndiyo klabu inayofuatiliwa na umma wote wa watanzania.

Watani zangu Kabwilicious sports club aka Utopolo/mazuzu FC hawana habari na timu yao. Mijadala yao ni kuhusu maendeleo ya Simba.

Pitia hata kule kwa jukwaa la watoto fb utashangaa wao hawana grupu za timu zao? Wamejaa kwenye magrupu ya Simba fans.

Njoo kwa msemaji wao yule zuzu namba Moya, pitia post zake zote ktk mitandao anaizungumzia Simba. Hana Cha kuzungumza kuhusu Utopolo yake. Kutwa ni Simba.

Akija Bumbuli na hersi kwenye press ni kuizungumza Simba, wao Wana mafumbo zaidi, hawaongei wazi.

Yaani kwa habari ya klabu za soka Tz Basi timu ya kuongelea ni Simba.Simba kwa Sasa Ni km OKSIJENI usipovuta lazima ufe.ni km maji usipooga utayanywa.huwezi kukwepa hivyo vitu viwili usivitumie halafu ukaishi.Simba!

Watani zangu Yanga jaribuni kuipaisha timu yenu, labda mtashindwa kwa sababu hamna la maana kuhusu timu yenu.

Ongeleeni hata kitambi cha mwakalebela.

ONE TEAM ONE DREAM!
 
wizzi wizzi, ujanja ujanja. kununua mechi, kupanga matokeo, kununua wamuuzi…+...…..+...…….+...…….!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…