Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Hata hivyo sio kosa lako ila ni kosa la umalaya wa Mama yako kukuzaa nje ya ndoaUbongo=hardware
Akili=software
Hili unalijua?
Kuna Cpu halafu Kuna Monitor
Wewe huna vyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivyo sio kosa lako ila ni kosa la umalaya wa Mama yako kukuzaa nje ya ndoaUbongo=hardware
Akili=software
Hili unalijua?
Kuna Cpu halafu Kuna Monitor
Wewe huna vyote.
KabwiliMichango ya mtu ambae hatumii ubongo kufikiri utamjua
Wewe mwenyewe huongelei timu yako unaongelea wengine, ungekikita na timu yako ninge kuelewaUnajua kwanini, Pitia threads karibia zote humu jukwaani, pitia michango ya mtu mmoja mmoja utagundua klabu inayozungumzwa kwa kwa zaidi ya 90% Ni Simba.
Inazungumzwa kwa mazuri, ubaya,lawama, matusi ni simba. Hii inamaanisha ndiyo klabu inayofuatiliwa na umma wote wa watanzania.
Watani zangu Kabwilicious sports club aka Utopolo/mazuzu FC hawana habari na timu yao. Mijadala yao ni kuhusu maendeleo ya Simba.
Pitia hata kule kwa jukwaa la watoto fb utashangaa wao hawana grupu za timu zao? Wamejaa kwenye magrupu ya Simba fans.
Njoo kwa msemaji wao yule zuzu namba Moya, pitia post zake zote ktk mitandao anaizungumzia Simba. Hana Cha kuzungumza kuhusu Utopolo yake. Kutwa ni Simba.
Akija Bumbuli na hersi kwenye press ni kuizungumza Simba, wao Wana mafumbo zaidi, hawaongei wazi.
Yaani kwa habari ya klabu za soka Tz Basi timu ya kuongelea ni Simba.Simba kwa Sasa Ni km OKSIJENI usipovuta lazima ufe.ni km maji usipooga utayanywa.huwezi kukwepa hivyo vitu viwili usivitumie halafu ukaishi.Simba!
Watani zangu Yanga jaribuni kuipaisha timu yenu, labda mtashindwa kwa sababu hamna la maana kuhusu timu yenu.
Ongeleeni hata kitambi cha mwakalebela.
ONE TEAM ONE DREAM!
Akili za kimaskini kama zako hazifai.Kasongo na karia watajua ukubwa wa simba tukiamua kususia ligi tutawaambia na washabiki wa simba wasusie mechi za ligi na pia wasilipie ving'amuzi tuone kama wadhamini watabaki
Wewe una utajiri gani wa kuniongelea kwanza hata shuguri ya maana hunaAkili za kimaskini kama zako hazifai.
Utamshawishi nani asilipie kisimbuzi chake kisa ugoro wa likichwa lako?
Danga hilo mkuu wangu lipotezee tu. GSM ameshamanuliwa na mabango yake kesho tunawapelekea moto wa hatari hawa nyani wa pori la UtopoloWewe una utajiri gani wa kuniongelea kwanza hata shuguri ya maana huna
Mambo ya CAF hayo.Danga hilo mkuu wangu lipotezee tu. GSM ameshamanuliwa na mabango yake kesho tunawapelekea moto wa hatari hawa nyani wa pori la Utopolo
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
mama yangu kafikaje hapa mkuu.Hata hivyo sio kosa lako ila ni kosa la umalaya wa Mama yako kukuzaa nje ya ndoa
Acha kukurupuka, jadili hoja.Wewe mwenyewe huongelei timu yako unaongelea wengine, ungekikita na timu yako ninge kuelewa
Aya sawamama yangu kafikaje hapa mkuu.
Duuuh, kumbe na argue na mgonjwa wa akili.
Kumbe umejiunga jamii forum JULY 2021Aya sawa
tupe uzoefu wa kuliwa ndogo mkuu!kaliwe ndogo uko
Kwa taarifa yako nina ID tano za JF, hii ni ya mwisho na kuna nyingine nne na zote zina operate kwa ratiba maalumKumbe umejiunga jamii forum JULY 2021
UNA MIEZI MINNE HUMU JUKWAANI.
SIYO KOSA LAKO. KUKU MGENI HAKOSI KAMBA MGUUNI.
Karibu If mkuu.
Hakuna mpumbavu SMART.Kwa taarifa yako nina ID tano za JF, hii ni ya mwisho na kuna nyingine nne na zote zina operate kwa ratiba maalum
Account ya kwanza ipo tangu 2010 na nilianza kuperuzi humu tangu 2008 bila kuwa na account
Kwahyo nina miaka 13 ndani ya JF
NB:Huwa sichagui silaha ya kumpigia mtu hasa nikiwa katika ya vita na mm muda wote nipo kwenye vita