Kweli Simba babalao

Kasongo na karia watajua ukubwa wa simba tukiamua kususia ligi tutawaambia na washabiki wa simba wasusie mechi za ligi na pia wasilipie ving'amuzi tuone kama wadhamini watabaki
 
Wazee wa nafasi ya 6 Afrika Ila mechi ya kesho wa mejaa mchecheto.
 
Wewe mwenyewe huongelei timu yako unaongelea wengine, ungekikita na timu yako ninge kuelewa
 
Kasongo na karia watajua ukubwa wa simba tukiamua kususia ligi tutawaambia na washabiki wa simba wasusie mechi za ligi na pia wasilipie ving'amuzi tuone kama wadhamini watabaki
Akili za kimaskini kama zako hazifai.

Utamshawishi nani asilipie kisimbuzi chake kisa ugoro wa likichwa lako?
 
Kumbe umejiunga jamii forum JULY 2021

UNA MIEZI MINNE HUMU JUKWAANI.

SIYO KOSA LAKO. KUKU MGENI HAKOSI KAMBA MGUUNI.

Karibu If mkuu.
Kwa taarifa yako nina ID tano za JF, hii ni ya mwisho na kuna nyingine nne na zote zina operate kwa ratiba maalum

Account ya kwanza ipo tangu 2010 na nilianza kuperuzi humu tangu 2008 bila kuwa na account

Kwahyo nina miaka 13 ndani ya JF

NB:Huwa sichagui silaha ya kumpigia mtu hasa nikiwa katika ya vita na mm muda wote nipo kwenye vita
 
Hakuna mpumbavu SMART.

Wewe mmoja wao.

Una miezi 4 jf.

Karibu!
 
Tarajia vichwa vya habari magazetini kesho kusomeka kama " GSM abanduliwa lupaso" .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…