Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Nikuibie siri,, kama unaBet tia GG tu kwenye mechi za simba hakika utakuja kunishkuruOyaaa babu tuliaa
Yangu alipokuja Sowaaah basi Simba bingwa
Mzamiru kama backup anatosha kabisa. Lakini pia wanasema Rushayne na Hamza pia wanaweza kucheza nafasi hiyo katika mazingira ya emergence. Nadhani beki wa kushoto kule waweke wazawa watupu kama walivyofanya kwa Kapombe.Kwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer,, mpaka hapo tayari idadi ya wachezaji 12 itakuwa imekamilika.
Najiuliza,, Simba SC imekuwa na Changamoto ya mda mrefu wa kiungo ya CHINI,,, wameridhia kubaki na Kante na Kagoma tu kwa msimu huu.
Mashindano ni mengi kuna injury, uchovu nk nk....mnataka kutuambia back up ya hawa watu wawili ni Semfuko na mzamiru ( mzee) kweli???,, ur not serious??
Anyways acha tuone
Umebahatika kuwa na jicho la kiufundiWachezaji wa kigeni walioachwa simba hadi sasa.
1. Valentine Nouma.
2. Che Malone Fondoh.
3. Fabrice Ngoma.
4. Debora Ferdnandez mavambo.
5. Augustine Okejepha.
6 (Leon Arteba)
Inasikitisha kwakweli, ngoja tuone maana utambulisho bado unaendeleaKwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer,, mpaka hapo tayari idadi ya wachezaji 12 itakuwa imekamilika.
Najiuliza,, Simba SC imekuwa na Changamoto ya mda mrefu wa kiungo ya CHINI,,, wameridhia kubaki na Kante na Kagoma tu kwa msimu huu.
Mashindano ni mengi kuna injury, uchovu nk nk....mnataka kutuambia back up ya hawa watu wawili ni Semfuko na mzamiru ( mzee) kweli???,, ur not serious??
Anyways acha tuone
Asilimia kubwa ya first eleven wamebaki kwahyo hawa wagen watakuwa wanazamia kdg kdgWasiwasi wangu wachezaji walioingia ni wengi kwa mkupuo...wataelewana na kubond pamoja haraka?
Tuombe iwe hivyo mkuuAsilimia kubwa ya first eleven wamebaki kwahyo hawa wagen watakuwa wanazamia kdg kdg
Pia hata Kapombe angetakiwa aachwe dirisha hili. Simba ingetumia CHAN kupata beki wa kuliaMzamiru kama backup anatosha kabisa. Lakini pia wanasema Rushayne na Hamza pia wanaweza kucheza nafasi hiyo katika mazingira ya emergence. Nadhani beki wa kushoto kule waweke wazawa watupu kama walivyofanya kwa Kapombe.
Uzoefu wangu katika timu hizi unaonyesha, ukichanganya mzawa na mgeni, mara nyingi mmoja wapo hatapewa nafasi kabisa.
Nadhani kwenye CHAN akionekana mchezaji mzuri atanyakuliwa. Sitashangaa mashindano haya yakiwa yanaelekea ukingoni kuona Simba na Yanga wanagombea mchezaji.
UKo sahihi mkuu huyu jamaa namuelewa kweny issue za usajiri ana madini flan hvUmebahatika kuwa na jicho la kiufundi
Hebu tia neno kwenye huu usajiri mpya
Simba hadi sasa Imeachana na wachezaji watano wa kigeni (iliyowaaga)Umebahatika kuwa na jicho la kiufundi
Hebu tia neno kwenye huu usajiri mpya
Usiwapangie..Kwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer,, mpaka hapo tayari idadi ya wachezaji 12 itakuwa imekamilika.
Najiuliza,, Simba SC imekuwa na Changamoto ya mda mrefu wa kiungo ya CHINI,,, wameridhia kubaki na Kante na Kagoma tu kwa msimu huu.
Mashindano ni mengi kuna injury, uchovu nk nk....mnataka kutuambia back up ya hawa watu wawili ni Semfuko na mzamiru ( mzee) kweli???,, ur not serious??
Anyways acha tuone
Msimu ulioisha kama utakumbuka vizuri..Simba ilifungwa kwa makosa mengi ya Shabalala na Malone..itoshe tu kusema ameifanyia Simba makubwa lakini wakati ukutaSimba hadi sasa Imeachana na wachezaji watano wa kigeni (iliyowaaga)
Hadi sasa Imesajili na kuwatangaza
Wachezaji wanne tu wa kigeni.
1.Rushine De Reuck
2. Allasande Maondo Kante.
3. Mohamed Bajaber
4 .Jonathan sowa.
Nasikitika sana kumkosa Shabalala.
Maana atahitajika mchezaji wa Kigeni kuweza kuziba pengo lake.
Khadim Diaw.
Simba inahitaji sana viungo wa maana sana sana sana Katikati ya Uwanja, 6, 8, 10, 11na sio hao akina Bajaber.
Namba 10 si wanasema Neo Maema ameshasajiliwa kwa mkopo toka Mamelodi na anasubiriwa tu CHAN iishe wamtangaze.Ukitaka kuelewa hizi timu zinatumika kisiasa na kwa makusudi fulani utaelewa kwenye huu usajil.
Simba hii mpaka saiz haina namba 10 na ndio namba inayotuumiza sana na kutuangusha na viongoz wanalijua hili ila ajabu wanasajil ujinga ujinga tu.
Niseme tu waza yanga ataendelea kubeba ubingwa hadi hawa waliopo madarakan waondoke.
Mambo ya simba na yanga nayatazama sana kisiasa
Kwani bajaber sio Bora kakaSimba hadi sasa Imeachana na wachezaji watano wa kigeni (iliyowaaga)
Hadi sasa Imesajili na kuwatangaza
Wachezaji wanne tu wa kigeni.
1.Rushine De Reuck
2. Allasande Maondo Kante.
3. Mohamed Bajaber
4 .Jonathan sowa.
Nasikitika sana kumkosa Shabalala.
Maana atahitajika mchezaji wa Kigeni kuweza kuziba pengo lake.
Khadim Diaw.
Simba inahitaji sana viungo wa maana sana sana sana Katikati ya Uwanja, 6, 8, 10, 11na sio hao akina Bajaber.