CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Ni Dejan+ onana.Kwani bajaber sio Bora kaka
Simba wanafanya upumbavu mkubwa mno.
Ni Dejan+ onana.Kwani bajaber sio Bora kaka
Huyo babajabiri january simuoni akiendelea na simbaNi Dejan+ onana.
Simba wanafanya upumbavu mkubwa mno.
Huyo babajabiri january simuoni akiendelea na simba
Na Wakenya wanamkubali sio Poa.Hadi wengine imefika wakati wanamlaumu kukubali kujiunga na timu ndogo kama Simba.Huyu wamemsajili kuongeza Mashabiki kenya, Kufanya Biashara Jersey nk.
Sio mchezaji wa Level hata ya Klabu Bingwa CAFCL
TutakuwepoNa Wakenya wanamkubali sio Poa.Hadi wengine imefika wakati wanamlaumu kukubali kujiunga na timu ndogo kama Simba.
Nikawa nashangaa kimoyomoyo kwamba wangejua pengine mwishoni mwa msimu ujao wanaweza kumuona Airport akirudi na mabegi !!!
Hahah dah! basi sawa mkuu, acha muda uongee huenda akatushangaza uwanjaniNi Dejan+ onana.
Simba wanafanya upumbavu mkubwa mno.
nitajie first 11 ya simba iliyobakia.Asilimia kubwa ya first eleven wamebaki kwahyo hawa wagen watakuwa wanazamia kdg kdg
safi sana mkuu kwa kuongea ukweli japo najua wewe ni Simba damu..SIMBA ANAHITAJI MNO WACHEZAJI WA KATIKATI YA UWANJA.
TATIZO LAO KUBWA SANA LILIKUWA NO 10 HADI SASA HAWAPO SERIOUS KUTAFUTA NO 10.
Yanga wamemsaini Dombia hii ni kwamba Yanga Bingwa 2025-26.
Kwenye inside10 hakuna shida kama maema atakuja,, shida iko apo kwenye CM/DM, Na inaweza kuwa mbaya zaidi kama kante hata clickSimba hadi sasa Imeachana na wachezaji watano wa kigeni (iliyowaaga)
Hadi sasa Imesajili na kuwatangaza
Wachezaji wanne tu wa kigeni.
1.Rushine De Reuck
2. Allasande Maondo Kante.
3. Mohamed Bajaber
4 .Jonathan sowa.
Nasikitika sana kumkosa Shabalala.
Maana atahitajika mchezaji wa Kigeni kuweza kuziba pengo lake.
Khadim Diaw.
Simba inahitaji sana viungo wa maana sana sana sana Katikati ya Uwanja, 6, 8, 10, 11na sio hao akina Bajaber.