Kweli Simba kiungo cha chini (DM ) wameridhika na kante hawaongezi mchezaji mwingine wa kimataifa?

Huyu wamemsajili kuongeza Mashabiki kenya, Kufanya Biashara Jersey nk.

Sio mchezaji wa Level hata ya Klabu Bingwa CAFCL
Na Wakenya wanamkubali sio Poa.Hadi wengine imefika wakati wanamlaumu kukubali kujiunga na timu ndogo kama Simba.

Nikawa nashangaa kimoyomoyo kwamba wangejua pengine mwishoni mwa msimu ujao wanaweza kumuona Airport akirudi na mabegi !!!
 
Tutakuwepo
 
Kwenye inside10 hakuna shida kama maema atakuja,, shida iko apo kwenye CM/DM, Na inaweza kuwa mbaya zaidi kama kante hata click
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…