ladyisa
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 660
- 148
Tatizo sisi yanga ni nadra sana kupata ushindi na sare kutoka kwa simba. Mara nyingi tunapata matokeo ya aina moja tuu. Kufungwa ona zile tano zikaja tatu zikaja mbili ikaja moja na ile ya juzi tena dah sijui tutakua wageni wa nani sisi jamani
jamani ,maskini pole sana nimekuonea hadi huruma...