Kweli tulitokana na huyu jamaa?

Kweli tulitokana na huyu jamaa?

Si kweli. Kama ni hivyo mbona hawa bado wapo na hawabadili kuwa binadamu.
 
dah me bado siamini, mbona watoto wanaozaliwa hawapitii kwenye unyani au usokwe halafu ndio wawe binaadamu !!
 
Back
Top Bottom