"Kufungua team" ndio kufanya nini?aFungua timu yako muamini Mgunda.
Kwa ufala aliocheza baleke ni wa kumuweka General nje?Fungua timu yako muamini Mgunda.
Kwa ufala aliocheza baleke ni wa kumuweka General nje?
Kwanza team haina chemistry kabsa dah! Atuachie team yetu asepee, tumechoka na chuki zakeHuyu nguruwe wa kizungu atimuliwe tu
Kufungua timu"Kufungua team" ndio kufanya nini?a
Phiri anamzidi nini Baleke as Number 9?Kwa ufala aliocheza baleke ni wa kumuweka General nje?
General ni foward ambae anashuka chini kuchukua mali asubiri tuuu kweny box kama ile punda na pia phiri ni target man yan shots nying za phiri ni on target ata conversion rate yake kwa chances anazozipata ni kubwa sn tofauti na mkongoPhiri anamzidi nini Baleke as Number 9?
General ni foward ambae anashuka chini kuchukua mali asubiri tuuu kweny box kama ile punda na pia phiri ni target man yan shots nying za phiri ni on target ata conversion rate yake kwa chances anazozipata ni kubwa sn tofauti na mkongo
Sio number 9 ni Wide Forwad, mfumo wa Kocha haumuhitaji.General ni foward ambae anashuka chini kuchukua mali asubiri tuuu kweny box kama ile punda na pia phiri ni target man yan shots nying za phiri ni on target ata conversion rate yake kwa chances anazozipata ni kubwa sn tofauti na mkongo
Iwe iwavyo huyu kocha ana shida na phiri sio cha mfumo wala nnSio number 9 ni Wide Forwad, mfumo wa Kocha haumuhitaji.
Ni kwamba wewe huelewi Mpira kocha wala hana Shida.Iwe iwavyo huyu kocha ana shida na phiri sio cha mfumo wala nn
Zaudi ndio nini? Acha roho mbaya roho mbaya itakupeleka wapi wewe?Huyu kocha ameshaanza kuzingua mapema
Yani Ntibazonkiza ndio apewe muda zaudi kuliko phiri
RoSio number 9 ni Wide Forwad, mfumo wa Kocha haumuhitaji.
Zaudi ndio nini? Acha roho mbaya roho mbaya itakupeleka wapi wewe?
[/
Roho mbaya gani kwa utopolo anaocheza Saido halafu Phiri yupo tu nje haiwezekani
Huyo kocha ni suala la muda tu.Robertnho alipendekeza aachwe but viongozi kina try again wakashupaza shingo sasa mwamba Robertinho anawaonyesha kwamba yeye ndiye anayejua wachezaji aliowataka na sio machaguo ya wakina try again!