Kweli uchawi upo Duniani Baleke sio wakumuweka Bench Mosses Phiri

Hajapona vizur huyo mjue amekuwa majeruh kwa muda
 
Phiri anamzidi nini Baleke as Number 9?
General ni foward ambae anashuka chini kuchukua mali asubiri tuuu kweny box kama ile punda na pia phiri ni target man yan shots nying za phiri ni on target ata conversion rate yake kwa chances anazozipata ni kubwa sn tofauti na mkongo
 
Sure bro
 
Sio number 9 ni Wide Forwad, mfumo wa Kocha haumuhitaji.
 
Moses Phiri ni namba 10 na ana weza kucheza winga zote mbili kushoto na kulia.
Baleke ni namba 9 sasa mjadala uwe Moses Phiri na Saido
 
Robertnho alipendekeza aachwe but viongozi kina try again wakashupaza shingo sasa mwamba Robertinho anawaonyesha kwamba yeye ndiye anayejua wachezaji aliowataka na sio machaguo ya wakina try again!
Huyo kocha ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom