WATU wengine washamba sana.
1: Moses phili ni Mchezaji No 10.
Hucheza pia force 9
Kwenye No 10
Simba Ina wachezaji kama.
Chama
Saido Ntibazonkiza nk
2: Huyo phili hakuna mchezaji hapo.
Phili ameanza kukataliwa na MAKOCHA wenye UWEZO na wasomi.
tangu enzi za Zolan Mark phili ameshindwa kumpambania namba.
Akaja Robertinho napo ameshindwa kupata Nafasi.
3 Nilipo ANGALIA Mechi ya yanga na Simba kiufundi kabisa Ile ya 1-1 Azizi ki na Okra.
Phili aliocheza dk 90 hakuweza kupiga hata shuti Moja
JUZI nimemuangalia na power Dynamo nimebaini na kujilidhisha kuwa Mule hamna mchezaji