Kweli Ukikua Utaacha.....

Wewe tatizolako ukishatumia hizo hela unazijutia.

Umenikumbusha kuna siku (back in the days, kama 2004 hivi kama sikosei) nilienda club Webster Hall. Mwenyewe. Sikuwa na demu wala mshkaji. Kesho yake nikajikuta usiku ule nimetumia $300.

Hata nilipoipeleka sikujua. Kinywaji hapa,mapochopocho pale, cab pale, nininini, mara tu $300 kishney.

Halafu mda huo maisha ya vijana $300 si hela ndogo.

Sasa hivi I would rather invest au nii spoilfamily kulikokwenda club.
 
Hela ya manati lazima niisikilizie. Kuingia ngumu kutoka rahisi sana.
 
Hahahaha kijana hizo vifurush vya chuo vinakusumbua, kuwa mpole nikuajiri

BTW nilikuwa Mayotte this weekend

Nenda ka google ni wapi uko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongera weekend hii utakuwa wapi St. Tropez?
 
Mmenikumbusha enzi napenda kwenda kwenye strip clubs na hela nilizokuwa natumia nikiwa huko.

I have been way past that lifestyle for quite sometime now.

Ila kila nikifikiria nilivyokuwa natumia hela kwenye hayo maklabu najishangaa sana.

Kuanzia kwenye overpriced drinks hadi kwenye overrated private [lap] dances...hela nilizotumia sijui hata ni kiasi gani hasa ila zinaniuma.

Lakini kwa upande mwingine naona si vibaya kivile maana niliweza ku experience kidogo hayo mambo.

Sasa hivi nafurahia zaidi kukaa nyumbani...kupiga stori na Kisura...kama ni bia au viroba nanywea nyumbani bila hofu yoyote ile ya kupata ma DUI au kupoteza wallet n.k.

So I guess nami nimeshakua na nikaachaπŸ™‚
 
Ukubwa dawa hasa kama hukuruka stage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…