Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Wewe tatizolako ukishatumia hizo hela unazijutia.Saa hizi saa 2237 EAT nipo nyumbani naangalia tv,muziki kwa mbali...nje gari ipo garage ina half tank,mfukoni nina cash 300,000 na still sina mzuka wa kujirusha...miaka kadhaa nyuma saa hizi inawezekana ningekuwa mji mwingine! Ama kweli UKIKUA UTAACHA!
Umenikumbusha kuna siku (back in the days, kama 2004 hivi kama sikosei) nilienda club Webster Hall. Mwenyewe. Sikuwa na demu wala mshkaji. Kesho yake nikajikuta usiku ule nimetumia $300.
Hata nilipoipeleka sikujua. Kinywaji hapa,mapochopocho pale, cab pale, nininini, mara tu $300 kishney.
Halafu mda huo maisha ya vijana $300 si hela ndogo.
Sasa hivi I would rather invest au nii spoilfamily kulikokwenda club.