Kweli Ukikua Utaacha.....

Ha ha ha zile ni sehemu hatarishi...nilikuwa na rafiki yangu mmoja kakulia Canada alikuwa ananisumbua kweli twende uswazi...! Anakwambia huko watu ndio wako real

Uswazi dunia nzima huwa kunakuwaga na raha zake.
 
Kweli kukaa uswazi noma....saa saba usiku hii umeme umekatika! Mkata umeme ana makusudi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…