MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Ha ha ha zile ni sehemu hatarishi...nilikuwa na rafiki yangu mmoja kakulia Canada alikuwa ananisumbua kweli twende uswazi...! Anakwambia huko watu ndio wako real
Uswazi dunia nzima huwa kunakuwaga na raha zake.