barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mcheki miss chagga, aje azikombe!!Saa hizi saa 2237 EAT nipo nyumbani naangalia tv,muziki kwa mbali...nje gari ipo garage ina half tank,mfukoni nina cash 300,000 na still sina mzuka wa kujirusha...miaka kadhaa nyuma saa hizi inawezekana ningekuwa mji mwingine! Ama kweli UKIKUA UTAACHA!
Hunitakii mema....Mcheki miss chagga, aje azikombe!!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Kama sio wewe vile....
RRONDO niaje mazee???Good Morning.
Eeh bwana eeh!Poa mkuu...nipo nasikiliza Eazy Sunday.....
hebu nirushie asilimia kumi ya hyo hela rafiki .fanya kama kutoa sadaka nikaoshe hata miguu leoSaa hizi saa 2237 EAT nipo nyumbani naangalia tv,muziki kwa mbali...nje gari ipo garage ina half tank,mfukoni nina cash 300,000 na still sina mzuka wa kujirusha...miaka kadhaa nyuma saa hizi inawezekana ningekuwa mji mwingine! Ama kweli UKIKUA UTAACHA!
Gari yako aina gani??? Ni 1 hz au discovery td5Saa hizi saa 2237 EAT nipo nyumbani naangalia tv,muziki kwa mbali...nje gari ipo garage ina half tank,mfukoni nina cash 300,000 na still sina mzuka wa kujirusha...miaka kadhaa nyuma saa hizi inawezekana ningekuwa mji mwingine! Ama kweli UKIKUA UTAACHA!
eeh umenunua nini?Nishaimaliza nimepita Discount Centre asubuhi...
Ungezeeka ungeelewa vizuri sana. Kuna ule msemo kitabu usipokielewa hujaandikiwa wewe.
Huko Dar sasa mpaka nije aiseeHizi ndio zile thread zinawakera baadhi ya watu JF. Thursday is a new Friday njooni Karaoke Escape One....