Kweli Ukikua Utaacha.....

Kweli Ukikua Utaacha.....

Saa hizi saa 2237 EAT nipo nyumbani naangalia tv,muziki kwa mbali...nje gari ipo garage ina half tank,mfukoni nina cash 300,000 na still sina mzuka wa kujirusha...miaka kadhaa nyuma saa hizi inawezekana ningekuwa mji mwingine! Ama kweli UKIKUA UTAACHA!
Mcheki miss chagga, aje azikombe!!
 
Aisee. Nimekumbuka mbali sana mkuu.

Ama kweli mtu akikua kuna baadhi ya vitu huwezi ukaendelea navyo hata iweje.
 
Saa hizi saa 2237 EAT nipo nyumbani naangalia tv,muziki kwa mbali...nje gari ipo garage ina half tank,mfukoni nina cash 300,000 na still sina mzuka wa kujirusha...miaka kadhaa nyuma saa hizi inawezekana ningekuwa mji mwingine! Ama kweli UKIKUA UTAACHA!
hebu nirushie asilimia kumi ya hyo hela rafiki .fanya kama kutoa sadaka nikaoshe hata miguu leo
 
Saa hizi saa 2237 EAT nipo nyumbani naangalia tv,muziki kwa mbali...nje gari ipo garage ina half tank,mfukoni nina cash 300,000 na still sina mzuka wa kujirusha...miaka kadhaa nyuma saa hizi inawezekana ningekuwa mji mwingine! Ama kweli UKIKUA UTAACHA!
Gari yako aina gani??? Ni 1 hz au discovery td5
 
Back
Top Bottom