Kweli Ukikua Utaacha.....

Kweli Ukikua Utaacha.....

CURICULLUM shemeji akikuruhusu njoo tule bata ijumaa leo
 

Attachments

  • IMG_20170920_092313.jpg
    IMG_20170920_092313.jpg
    269.9 KB · Views: 20
I totally agree.

It's like you are on my mind.

I'd be far away doing God knows what.
 
Kweli kabisa mimi ilikua bila kwenda Night club wikiend nakuwa kama naumwa
 
CURICULLUM shemeji akikuruhusu njoo tule bata ijumaa leo
CURICULLUM hawezi toka kwasababu yeye ndiyo YAYA wa watoto istoshe dada yake kasafiri.
Huoni leo hata mtandaoni hayupo?? Hapa mpaka shemeji arudi ampe jero akanune kifurushi aje kutusumbua.
Mchana huu nimekutana naye anaenda Kariakoo kununua Daipa na Cererac za watoto.
Huyu dogo lasi bwana!!!😀😀😀😀😀😀
 
Shemeji kakuachia leo?
Hahahaha kijana hizo vifurush vya chuo vinakusumbua, kuwa mpole nikuajiri

BTW nilikuwa Mayotte this weekend

Nenda ka google ni wapi uko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom