Mkuu Bajaji jero hadi town, Mwendokasi 650.
Usafiri sio shida Dar bwana acha kuzusha.
Kweli bora wa kuja anajielewa, wewe ni wa kuletwa, is this your first time in Dar?Nilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana. Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda katikati ya Jiji unaweza kulipa kuanzia 6,000 mpaka 8,000 wakati taxi za kawaida unaweza kulipa mpaka 20,000. Kutoka Sinza mpaka airport nililipa 13,000 wakati taxi za kawaida ni Tshs.25,000. Kweli usafiri wa bolt una unafuu sana katika Jiji la Dar.
Acha dharau za kishamba, ndomana wanawake wenu huko wanaamua kujifanta tu, endeleeni kujiona wajanja wa dar.Kweli bora wa kuja anajielewa, wewe ni wa kuletwa, is this your first time in Dar?
I agree with you, uber is far better and reliable than any otherUber is more reliable
Sijaku quote weweAcha dharau za kishamba, ndomana wanawake wenu huko wanaamua kujifanta tu, endeleeni kujiona wajanja wa dar.
Hata mwanza pia ni poa sanaNilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana. Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda katikati ya Jiji unaweza kulipa kuanzia 6,000 mpaka 8,000 wakati taxi za kawaida unaweza kulipa mpaka 20,000. Kutoka Sinza mpaka airport nililipa 13,000 wakati taxi za kawaida ni Tshs.25,000. Kweli usafiri wa bolt una unafuu sana katika Jiji la Dar.
Hongera kwakufika DarNilibahatika kuja Dar es Salaam kwa safari ya kibinafsi na mojawapo la tatizo la Dar ni usafiri. Kwenye hoteli niliyofikia nikawauliza usafiri utakaonisaidia nikiwa Dar na wakanishauri nijiunge na bolt. Kwa kweli usafiri wa bolt ni poa sana. Unaweza kusafiri na bolt toka Sinza na kwenda katikati ya Jiji unaweza kulipa kuanzia 6,000 mpaka 8,000 wakati taxi za kawaida unaweza kulipa mpaka 20,000. Kutoka Sinza mpaka airport nililipa 13,000 wakati taxi za kawaida ni Tshs.25,000. Kweli usafiri wa bolt una unafuu sana katika Jiji la Dar.
Amelinganisha na Taxi za kawaida. Soma uzi wake kwa umakiniMkuu Bajaji jero hadi town, Mwendokasi 650.
Usafiri sio shida Dar bwana acha kuzusha.
Kama ingekuwa rahisi ivo bas hata love connect isingekuwepo...maana watu wanavyohaha kuleMwenzako nsha kutongoza hivyo na umesha nikubali. Jumamosi harusi yetu