Kweli usafiri wa Bolt ni poa sana ukiwa Dar es Salaam

Unajiunga vipi. Naomba msaada wako
 
Mimi kwa daladala buku tu nimeenda na kurudi....
 
Wewe hukai dar umejuaje kama dar kuna tatizo la usafiri na wewe sio mwenyeji wa dar ?
 
Honestly hata ukiwa na usafiri wako mwenyewe afu unapiga tungi I'd rather utumie Bolt au Uber. ndege JOHN πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŠπŸ™Š
Watu wachokozi sn..kwamba ndege JOHN Kwa mlevi mbwa Hadi anapotea njia ya kwao kiasi cha kumshauri atumie boltπŸ˜…
Unatafuta Makofi😎😎..Mimi siyo mshamba kiasi cha kushangaa shangaa barabarani na kupotea kwenye hili jiji.Wewe km unatafuta dereva binafsi Mimi nipo,nazijua chocho zote za huu mji hata uniamshe saa nane usiku,sipotei popote
Its safer and more convinient.
 
Nimemshauri tu ndege JOHN na wewe pia.πŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸ™ŠπŸ™Š
 
Naipenda inDriver ya Arusha.

1. Bei unajipangia ila ikiwa chini unaambiwa rate ur fare kwa 500 500
2. Unachagua mwenyewe aina ya gari
 
Bolt unalipa pesa sawa na Boda tu.. kutoka Sinza kwenda Airport boda ya kawaida ni 15-20
 
Kwanza bolt haipo siku izi, acha danganya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…