Yani mkuu siku hizi hamna cha chardeima wala sisiem wote kimya dahh ila wanasiasa hawaWanasiasa mnatuangusha. Tulitegemea hata chama kimoja kijitokeze kugawa bure barakoa kwa nchi nzima Kama ambavyo mmekuwa mkifanya kipindi Cha uchaguzi, ambapo huwa man uwezo wa kugawa tisheti, kofia, kanga na vitu vingine vingi nchi nzima.
Huu ndo wakati wenu tunawaomba mjitokeze.
M'mechelewa sana kirusi kisha sambaa sana mitaani, na kama Mungu akijalia October mkija na T-shirts zenu tunazichoma moto mbele yenu.CCM wanagawa barakoa na sanitizer nchi nzima.....bureeee!
October ya mwaka gani bwashee?M'mechelewa sana kirusi kisha sambaa sana mitaani, na kama Mungu akijalia October mkija na T-shirts zenu tunazichoma moto mbele yenu.
Kama umenisoma vizuri nimetumia neno "kama Mungu akijalia" nikimaanisha mwaka huu tena tukiwa bado na machungu ya huu usanii wa corona tutatoa hukumu maridhawa..October ya mwaka gani bwashee?
Mwaka huu hakuna uchaguzi bwashee!Kama umenisoma vizuri nimetumia neno "kama Mungu akijalia" nikimaanisha mwaka huu tena tukiwa bado na machungu ya huu usanii wa corona tutatoa hukumu maridhawa..