Kweli Waafrika Ndivyo Tulivyo - We Aint 'Capitalist Niggers'!

Kweli Waafrika Ndivyo Tulivyo - We Aint 'Capitalist Niggers'!

Kwanini hizi mada zimeunganishwa? Au ndio tulivyo? Hii mada ilikuwa ni mpya kabisa na ingeruhusiwa kuendelea pekee yake.

Inabidi moderator aambiwe kuwa kuna tofauti kati ya hizi mada mbili - na tofauti hiyo iko kwenye 'subtitle' ya mada ya pili i.e. WE AINT CAPITALIST NIGGERS...

Tafadhali Moderator zitenganisha tusije kupoteza mwelekeo toward Neo-Socialism...
 
Toa mfano wa jamii yoyote ya Kiafrika au yenye asili ya Afrika ambayo ina practice au ambayo imewahi ku practice ujamaa na kupata maendeleo ya hali ya juu.

NB: I'm loving this topic coz it's right up my alley...wooo hoooo

Hii hapa - cheki wajamaa hao walivyoshikamana!

Nyingine hii hapa - cheki jinsi walivyhifadhiana!

Na nyingine hii hapa - cheki jamani tulivyojamaana!
 
Waafrika wamekulia katika natural abundance, kwa hiyo hawakuwa na uchoyo naturally. Central theme ya Capitalism ni uchoyo, everybody for himself, Waafrika baba mmoja akisoma na kuwa wa kwanza kufika Chuo Kikuu ukoo mzima utahamia kwake, na hawezi kuwafukuza, hatimaye kila kitu kinakuwa bogged down, tunaendekeza welfare system, etc.

Wenzetu wameanza kufukuzana na wanyama wakali kwenye mapango ya Ulaya huko, huku wakipigana na baridi kali, wakajua principle ya "everybody for himself" zamani sana, wakaanza mashindano zamani sana, mashindano haya ndiyo yaliyo waletea maendeleo.

Kwa hiyo kwa mtazamo wa utu, waafrika tumewazidi watu wa west, kwa mtazamo wa kiuchumi wa west wametushinda waafrika.

Kwa sababu ya choyo, sisi hatuna choyo wao wana choyo.

Hata baba akija kumtembelea mwanae (kama baba hajawekwa nursing home) anaonekana nuisance na swali la kwanza ni "Unakaa siku ngapi?".Swali hili kiafrika ni tusi!

Watu wanapimiana kila kitu, kuanzia vyakula mpaka dakika anazooga mtu bafuni, sisi afrika tulikuwa tunaangua maembe mtini tu na kuoga mtoni.

Kwa hiyo kinachotutofautisha ni choyo, na choyo kimekujaje? Kutokana na mazingira.
 
Bluray,
Nakubaliana na mtazamo wako kwa waafirka kwa ujumla kuwa sii wachoyo Kiasili sasa tutaweza vipi kutumia Ubepari na Uchoyo wake ili upate maendeleo..
Mkuu Companero, Hapa unapoongeza kichombezeo - We aint Capitalist niggers! ndio ktk kutokubali Tulivyo, ama kukubali Tulivyo!
 
Bluray,
Nakubaliana na mtazamo wako kwa waafirka kwa ujumla kuwa sii wachoyo Kiasili sasa tutaweza vipi kutumia Ubepari na Uchoyo wake ili upate maendeleo..
Mkuu Companero, Hapa unapoongeza kichombezeo - We aint Capitalist niggers! ndio ktk kutokubali Tulivyo, ama kukubali Tulivyo!

Kwanza inabidi tujiulize kwamba tunataka kufanya hivyo? Maana wazungu wenyewe wakija kwetu wanatuonea gele tunavyoishi, watu masikini lakini wanakenua meno wakati huko kwao wazungu millionaire stock brokers wamejaa stress wanajitupa katikati ya reli waundwe na treni.Kwa hiyo maendeleo ya kiuchumi yana gharama zake socially.

Lakini tunaweza kusema globalization haitupi uchaguzi mkubwa na tunalazimika kuingia katika system hiyo tutake tusitake.Inabidi tuanze ku adopt hizi values katika mfumo wa kiafrika, kwa mfano, hakuna sababu kuacha mifumo ya largesse ya kiafrika na overspending za "kusafisha jina" bila ya kuwa overly stingy.This way we let western capitalism inform our economic values but we still embrace our africanness in not abandoning our social nature.

Mimi nafikiri sehemu tunayoweza kujifunza kwa sana kutoka west ni pamoja na responsibility, accountability, openness, good governance etc.These concepts may have more to do with building a democratic society than a capitalistic society, lakini tunaweza kuona uki encourage mambo haya mengine yatakuja tu.Ukileta openness, accountability na responsibility katika processes za kupata vibali vya biashara, ukaondoa ukiritimba na rushwa, watu wakapata elimu, naturally biashara itaongezeka na utaona watu wanavyo adapt kwenye hii African capitalism, wafanyabiashara wanawake wa West Africa washaanza kuenda kwenye hii trend.

Whatever effort are to be exercised they have to start with the people.Moja ya matatizo ya ujamaa wa Nyerere ni kwamba ulikuwa intellectualized bila ya kuwa na intelligentsia ya kutosha iliyoelewa na kufanya kazi na wananchi.This time ukiwaonyesha watu utamu wa uzalishaji na biashara unaweza ukakuta wananchi ndiyo wanafanya mambo katika bottom up model, na serikali ikawa na role ya kuwa overseer tu kama ina atruly capitalistic model.

Lakini kwanza lazima serikali iweke mazingira ya haya yote kutokea na wananchi wawe na interest ya ku own hii process nzima.

Just my thoughts.
 
Bluray, Nakubaliana na mtazamo wako kwa waafirka kwa ujumla kuwa sii wachoyo Kiasili sasa tutaweza vipi kutumia Ubepari na Uchoyo wake ili upate maendeleo.. Mkuu Companero, Hapa unapoongeza kichombezeo - We aint Capitalist niggers! ndio ktk kutokubali Tulivyo, ama kukubali Tulivyo!

Ni katika kukubali kuwa kumbe ujamaa uko kwenye damu yetu - ni asili yetu kwa hiyo hivyo ndivyo tulivyo na U-Capitalist Nigger (wenye choyo ya kukata koo) sivyo tulivyo. Kwa maana nyingini ni kuwa 'falsafa' ya Nyani imenisaidia kuelewa kwa nini Mwalimu alisema hivi kuhusu jinsi tulivyo:

"Ujamaa," then, or "familyhood," describes our socialism. It is opposed to capitalism, which seeks to build a happy society on the basis of the exploitation of man by man; and it is equally opposed to doctrinaire socialism which seeks to build its happy society on a philosophy of inevitable conflict between man and man. We, in Africa, have no more need of being "converted" to socialism than we have of being "taught" democracy. Both are rooted in our own past--in the traditional society which produced us. Modern African socialism can draw from its traditional heritage the recognition of "society" as an extension of the basic family unit.
 
Last edited:
Hiyo historia umeisoma wapi? Iliandikwa na nani? Inafundishwa na nani?

Soma Long Walk to Freedom cha Nelson Mandela uone machifu wa Kixhosa walivyokuwa wanadhibitiwa katika Mbongi (Baraza). Pia soma Citizens and Subjects cha Mahmood Mamdani uone jinsi Ukoloni ulivyosimika mfumo wa Machifu wenye hizo nguvu zisizopingika unazoziongelea. Pia msikilize George Ayittey, mtunzi wa Africa Unchained, katika Mhadhara wake wake wa TED alioutoa Arusha - hasa sikiliza uchambuzi wake wa jinsi jamii za Kiafrika zilivyokuwa zimegatua madaraka (decentralize power). Ukimaliza nenda kaongea na mabibi na mababu wanaokumbuka historia waliyoelezwa na babu na bibi zao kuhusu utawala wa Kiafrika kabla ya kuja kwa Mkoloni.

Mkuu mbona hasira? Si post nilianza kusema kuwa naomba kuuliza nijue vizuri? Au nia ya thread yako siyo kuelimisha? Kweli mfano huu maybe kweli ndivyo tulivyo.
 
Bluray,
Mkuu nakukubali wala sina hoja mpya. Binafsi nachoweza kuongezea tu ni zile tofauti kati yetu sisi na nchi nyingine za Kijamaa hata kama uwe wa asilia. Wakati wa mapinduzi ya kiuchumi duniani na ujio wa Globalisation wenzetu Wachina na Wahindi walitumia mabadiliko hayo kwa kuanzisha vyanzo vya Ujasusi wa kutafuta utaalam na teknologia ktk uzalishaji.. Kwa hawa wenzetu vita baridi ilipokwisha vyombo vyote vya ujasusi viliaelekeza nguvu zao ktk kutafuta taaluma ambazo zingweza kuwasaidia ktk uzalishaji tofauti nasi ambao siku zote Ujasusi wetu ni kutafuta kumjua adui yako (mchawi) ndani na nje anakusudia kufanya nini dhidi yako..
Maisha yetu siku zote yamekuwa ktk kujikinga, kujilinda na hujenga ngome kubwa kulinda maslahi yetu badala ya kufikiria ku attack, kuiba taaluma hizi ambazo zinaweza kutusaidia sisi kwenda mbele..

Kusema kweli sioni sababu kabisa ya Watanzania kwenda China kununua au kuchapisha nguo wakati Tanzania tuna uwezo wa toka kulima pamba, kusafisha, kutengeneza vitambaa na hata kushona hizo nguo.. Sioni sababu ya Tanzania kuagiza tiles toka Italy au China wakati uzalishaji wake unawezekana kabisa nchini.
.
Tunashindwa kuzalsiha hata vitu vidogo ambavyo tuliweza kuzalisha hata kabla ya mkoloni kuingia nchini.. Mfano sufuria na vyungu leo hii tunagiza toka nje, imefikia hata mabomba ya maji na nyaya za umeme ni toka nje hivi kweli tumeingia ktk mfumo wa globalisation au tunapuyanga kivyetu. Nitaelewa sababu za kuagiza machinery na mambo mengine yanayohusiana na services lakini inanishinda kabisa kuelewa kwa nini Tanznia hata matunda kama apples na mboga zinaagizwa toka South Afrika..Sielewi ni mfumo gani tunaotumia kiuchumi maaneke siwezi kusema ni Ubepari..Again bado tuna safari ndefu sana na kusema kweli mara nyingi namkubali Ngabu kwa sababu kama hizi..

Nitaongezea tu kitu kimoja, kusema kweli imenishangaza sana na kunisikitisha..Nasiikia kuna uvumi kwamba Mzee wetu Mwanakijiji amefikia kuwa tishio la Utawala wetu kutokana na hoja zake..(ndio maana kapotea)! - hizi ni Tetesi......
Yaani mtu anapoandika mabaya ya uongozi uliopo na wanajua kuwa ni makosa, hawa watu wamwona mtu huyo kuwa ni adui wa Taifa na mwenye kuhatarisha usalama wa taifa! badala ya wao kutazama kuwa machafu wanayoyafanya ndio sababu itakayo haribu usalama huo...Kweli tutafika tunakotaka kwenda jamani, ikiwa viongozi wetu hawakubali kusemwa kwa mabaya yao ya kiuongozi..tena basi wako radhi kutumia vyombo vya usalama kumchunguza mtu anayewasumbua vichwa vyao na baadhi ya watu wanapongeza jitihada kama hizo kwa sababu tu wana beef na Mwanakijiji. jamani hata mimi sikubaliani na Mwanakijiji kwa kila kitu lakini hupambana naye hapa hapa kijiweni. Tukikutana mtaani tunazungumza vitu vya kujenga, tunapeana mikono na pongezi kwa kushirikiana kuongozana ktk mema leo Tanzania mtu anayezungumzia ama kuwashauri viongozi kuacha dhambi anakuwa adui wa taifa zima!..Sii ndio haya yalimkuta mwalimu kabla ya Uhuru alipoingia siasa! Yaleyale ya mkoloni ambayo tumeyaweka kama historia ya mabaya ya utawala wa mkoloni leo yanatriwa ubani anapoyafanya mwafrika! - Nachooooka na Bongo!

Companero,
Mkuu, maneno ya mwalimu ni mazito sana lakini kwa mdanganyika yaliingia sikio moja yakatoka la pili..Na sidhani kama kuna mtu alimwelewa, anamwelewa na wala watakuja mwelewa..ila nina hakika tutakuja kujutia na kutafuta mchawi mwingine -Ndivyo Tulivyo.
 
Mkuu mbona hasira? Si post nilianza kusema kuwa naomba kuuliza nijue vizuri? Au nia ya thread yako siyo kuelimisha? Kweli mfano huu maybe kweli ndivyo tulivyo

Mkuu hiyo ni shauku na hamasa tu ya kuelimisha-na. Kwa Kiingereza wanasema ni kuwa 'passionate.' Samahani/pole kwa kuchangia kukufanya uhisi ni hasira. Tuendelee na darasa.
 
Makala hii, japo sikubaliani nayo, ilinifanya nijiulize maswali mengi sana na nadhani kwa kiasi kikubwa inajaribu kujibu hoja ya Nyani kuwa Waafrika ndivyo tulivyo katika muktadha wa ile dhana/dhahania ya kuwa tumelaaniwa na Maulana:

Tribes and nationalities: Identity vs corruption in African politics

By Miki Tasseni

Two points need to be stressed on the relation between tribes and nationalities lately taken up by Nairobi publicist Philip Ochieng; first, tribe is different from nationality on a substantive point, of the nature of social identity that characterise a given people, not just usage adopted by European elites. Second, when it comes to "what happened in history," it is clear that the Biblical account, added upon by the Book of Mormon (which has books of Moses and of Abraham that are refreshing in their accounts) are more reliable than the Egyptologism of the 'New Age' Bible readers, extremely popular in US black 'deconstruction' and adepts of Satanism. The latter chiefly deconstructs the idea of the supremacy of Yahweh, etc.

Additionally, the manner the discussion about tribes was introduced, buttressed by photos of victims of the recent flare up in Kenya, was ironical in itself. These illustrations were meant to demonstrate how the notion of tribe has had nefarious consequences in Africa, which was to say the least a faulty demonstration, for those who picked machetes were not westernised. They were following precisely the sort of impulse and form of conflict that is attributed to tribes, and in precise manner.

Rapidly, tribes are collections of people with a single language, and to a considerable extent loyalty to a patriarch or ruler arising from such a patriarch, holding land in common, and holding unto deities which aren't transferable from one tribe to another. Nationalities on the other hand have an ethnic basis, while the land is held privately by landowners or small owning peasants, and whose religion can be taught to other people. Tribes arose from warriors and medicinemen but nationalities arise from interpretations of Scripture, accepted by some ethno-demographic zone.

So, what fundamentally distinguishes tribes and nationalities is faith of existence, as tribes have an enclosed outlook that sees their group as the basis of things, and anything outside as strange or enemy. Nations are on the contrary aware of their place in a wider scheme of things, in relation for instance to Protestant nations of northern Europe and Catholic nations in southern Europe. But at times one can talk about the Shiite or Sunni tribes in the Middle East, when patriarchy and closely knit communality on land supersede individuality and a faith community.

That is why the wider demographic representation of what happened, despite the paucity of the record, is still better if constructed from the Bible and the Book of Mormon, and only some occasional data from the New Age deconstructionists. Two points are helpful here, first that the deconstruction datum that New Age brought up - that native Americans were descendants of Hamitic migrants who flew by mat from Africa, as a clan (or associates) of magicians around 5000 BC seems to make sense. It helps to understand two things, their profound knowledge of certain things, and then their later destruction, or kind of life, e.g. in Amazonia.

As these offspring of Ham, as different from others of the patriarch, were of a nature to totally reject the Gospel or the law of Yahweh, the destruction was predictable. Their lands were handed to Japheth-origin immigrants, importing slave labour from other Hamitic people but those from Egypt (Misr) and Canaan (the Book of Abraham says God cast the dark skin on offspring of Canaan so that they don't mix with the other tribes or peoples). The destruction that went through Canaanite lands (West Africa to East Africa) enabled the Japheth people to build their colonies and mother countries, returning to Africa to change it totally.

All this is figured in Isaiah chapter 18 (Great Lakes region), chapter 19 (collapse of ancient Egyptian civilisation and crisis of Africa generally, even today) and chapter 20, the Atlantic slave trade. The prophet wrote the visions around 800BC, and precisely what he foretold was realised 2300 years later, three centuries of slavery just as the Lord had earlier instructed His servant Isaiah to go around Misr and Cush (Ethiopia) to tell those people of the Lord's judgments. The prophet had to suffer for three years walking barefoot on burning sand; Africa paid for 300 years.

The point about tribes which matters until now and explains Jehovah's irrepressible hatred for this form of organisation of human society, is that its key link is laughing at the power of Jehovah, who asks more of duty and care of others from His people than the rewards he pours on them. Those ranged against Jehovah, including numerous tribal deities, are more inclined to pour rewards and power on those who take the right sacrifices to them. That explains the current genocide on albinos that is going on under our very eyes, or the hunt for dark skins in Mbeya, which in a way builds images of Sodom and Gomorra - readying for destruction.

The human tragedy that is engulfing Africa at the moment, whether it is that in Kenya, the Congo, the Rwanda genocide, the Nigerian periodic pogroms, atrocious civil wars by bayoneting expectant mothers in the course of creating "soldiers" comes down to what is detailed in Isaiah chapter 19. Following the collapse of Jihad (set out in 'oracle on Arabia' in chapter 21 of Isaiah), the Lord (whose key instruments are hunger, the sword, wild animals and pestilences) resorted to other instruments. The combination of hunger, the sword and pestilences gradually breaks down traditional African society, opening it up to eradicate evil deities.

That doesn't mean that it is only African society which the Lord is in a way breaking down, but He does it systematically with all societies, in the process of purifying human society to obey only His law of "doing unto the other what you want done to yourself."

All the major wars in history have four phases: the wars of the ruin of ancient empires of Persia and then Greece - that were executed by angel Gabriel assisted finally by angel Michael. Then there was a war of expelling Satan from heaven, by the baptism of Emperor Constantine and the subsequent christianisation of Europe - that is, evil was now an underdog, not holding equal fort with the Lord in destinies of humanity - was handled by the angel Michael, in Saint John's account in the Revelation. Then there were the wars of the Reformation, led by the horse rider with a sword emanating from the word of his mouth, that is, Christ. Finally, St John sees an angel coming out of heaven, calling all the birds (eagles, vultures) to a feast of the Lord (Jehovah himself) to feed on the flesh of the heroes and warlords of the earth; that was chapter 19 of the Revelation and neatly maps out the first and second world wars. The core of evil has been defeated in that the collapse of the Egyptian deity Mithra (that is a god taught by a priest from Misr) was complete. Mithra was the dominant god of European nationalism and in Japanese fascism, as Amaterasu ('amate' reflects old Egyptian deities, Ra as God in Egypt, and 'su' as showing that this is a sun god).

In Africa the crushing of these societies that is being pursued by the Lord at the moment constitutes in the 'mopping up' of deities requiring the body parts of children, who won't survive another century, however much deconstruction might work. With the private ownership of land and the freedom of peasants to sell to anyone from any country so as to get the highest prices, envisaged in Economic Partnership Agreements, the Lord's purpose in colonialism would approach its finality. It means that history is what Isaiah says it is and will be, the rise of the law of God, and the Messiah, completing the great plan of humanisation of society.

What Ochieng sees as the link between the Levites (Walawi) and some tribes in Malawi or other links arise not from ancient Nilotes teaching religion to Israelites but the displacement of populations as Israelites took over (see the Book of Judges, which has names of many African clans that became tribes). And then there was the destruction of Judea and Samaria first in 720 BC for Samaria and 586 BC for Jerusalem, that saw the scattering far and wide of their kindred peoples, not to speak of the destruction of Egypt by Nebuchadnezzar. Canannites thus spread around, but core Hamitic peoples remained, seeing in the key law of God nothing but trash, and these have remained "indigenous" in character. They were the lords of the bush in ancient times, and so they rested, as relics of ancient image of God, but may be entirely vowed to destruction.
 
This book is a must read..kwa mwafrika yeyote! Inachukiza kusoma ukwelI huo lakini ndiyo mwanzo wa kujitambua ili kubadilika.

Kwa hiyo baada ya kukisoma umejitambua kuwa wewe ni nini/nani na unapaswa kubadilika uwe ni nini/nani?
 
Kwa hiyo baada ya kukisoma umejitambua kuwa wewe ni nini/nani na unapaswa kubadilika uwe ni nini/nani?

Kwa mfano sikujua kuwa wajapan wanatudharau sana watu weusi na yet sisi weusi ndiyo mabingwa sana wa kununua japs cars, stereos etc.I always though weupe ndiyo wana prejudice kuhusu weusi more so the black Americans.
Kubadilika kwenye ni pamoja na kutokujali sana kuwapatronise kwa bidhaa zao LOL..YES i DONT DRIVE JAP VEHICLE!
 
Back
Top Bottom