Kweli wachina wametushika pabaya, Kumbe Star times hawalipi kodi

Kweli wachina wametushika pabaya, Kumbe Star times hawalipi kodi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Source ITV

Leo wizara imekiri kuwa star times hawalipii kodi ving'amuzi vyao wakati huo huo kampuni nyingine zinalipa kama kawa. Kisa wao waliomba wasilipe kodi na serikali ikaonelea ombi lao lina msingi na wakapewa kama walivyoomba
 
Hakuna kama hicho mnalete mada kujifariji baada ya kuufyata kuandamana!
 
kwa nini umesema wachina tu ilhali inajulikana wazi kuwa hii project ni Joint Venture baina ya China na Tanzania Broadcasting Corporation (TBC)? sasa kama TBC wenyewe hawalipi kodi kwa nini wachina walipe? Kabla ya kulaumu wengine kwanza tujirekebishe wenyewe!!!!
 
Back
Top Bottom