Kweli walevi wa madaraka wamejaa sana CCM

Kweli walevi wa madaraka wamejaa sana CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Ebu msikikizeni tena huyu mwanaccm anavyomwaga sifa za CCM kwenye chaguzi.

Najiuliza hivi ule utaratibu wa kuwapeleka viongozi kwenye chuo cha uongozi watarajiwa haupo tena?

Ipo wapi nguvu ya vetting kwa viongozi?

 
Huenda ule muda wa anguko lao umefika maana kauli na matendo yao vinajiweka wazi.
Wakati ni ukuta ...
 
Mkuu Mmawia matamshi kama haya yanawezekana tu Tanzania chini ya CCM
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100 mkuu.

Lakini bado kuna watu wanasema ccm ndiyo Chama cha wanyonge
 
Huenda ule muda wa anguko lao umefika maana kauli na matendo yao vinajiweka wazi.
Wakati ni ukuta ...
Muda umefika na vilevike Ile albadiri imeanza kufanya kazi
 
Back
Top Bottom