Kweli wanaume wa Dar mnatia aibu

Kama wewe ulikuwa eneo la tukio na hukuwa mwanaume wa dar una uhakika gani hao waliokuwepo ni wanaume wa dar?
Au nyie ndo wale wale
 

Hilo ndilo kundi kubwa linalotumika kulia kila mahali.Magufuli kabana hela.Ni rahisi kuwatumia unavyotaka.Wanaamini Dar ndiyo Tanzania,namna yao ya kuishi wanaamini ndiyo kielelezo cha Tanzania.
Kumbuka 10% ya watanzania wapo Dar, na kundi kubwa kati yao wamekimbia walipozaliwa kwa kuepuka majukumu wakidhani Dar kuna mteremko.
 
upo sahihi mkuu
 
Mimi kama mwanaume wa dar nakupo pole kwa tukio baya namna hii. Lkn sio wanaume wote wa dar wako hivyo. Ingekua yombo mwisho wa lami imetokea hii ungeona msaada wa wanaume waojitokeza sisi huku tupo vizri tuna misuli ya kutosha tungepambana nao,maana sisi tunapinga hasa vitendo kama hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti ninakula chips

Bila hata aibu

We wa mikoani siku nyingine utatafunwa siyo siri, chips waachie wenyewe na mamiregezo yao

Sasa ukianza na kupaka poda si ndo umekwisha tena, utaanzaje kurudi tarime
Kula chipsi siyo tatizo , inategemea zinaliwa katika mazingira gani.
Chips ni chakula kinachopatikana kirahis tena kwa haraka..
Wameshasema walikuwa safarini....
Usipende kukimbilia conclusion
 
Yaani nimekuelewa kama vile unasifia ujinga.
Mmama kubakwa na magari ysnampita bila kumsaidia nacho ni cha kujisifu?
 
Yaani nimekuelewa kama vile unasifia ujinga.
Mmama kubakwa na magari ysnampita bila kumsaidia nacho ni cha kujisifu?

Kwa watoto wa vijiweni ni sifa kubwa kwao ndiyo maana JPM anaposema wasipokubali kufunzwa walazimishwe kujifunza lazima waanzishe wimbo wa dikteta,wangependa waachwe waendelee kunyang'anya.
 
unajiita mwanaume huku umeshindw kujiongeza ukapigwa na mateja....hahaha kua na adabu bhana
 
dah kweli mkuuu lakn nilishndwa kupata msaada kwa sababu wanawafaham sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…