Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wao wa DOm muda si mrefu watakuwa kama wa DarSasa hivi wameanza kuhamia dodoma. Wanaume wa Dom msikubali hawa jamaa wa dar watembee na dada zenu wasijezalisha machotara wenye tabia kama zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Stor Ni Yakutunga Hii, Labda Kwakua Unawacmulia Wanakjj Wenzio Lkn Saa 5 Usiku Ni Mapema Sana Kwa Dar Hasa Tabata. Watu Wanatoka Harucn Na Sendoff Saa 6 Had 7 Ucku Hiyo Ndo Junction Kipenz Ya Watu Wa Ubungo, Tabata Na Wanaoenda Buguruni. Af Unasema Kaja Kjana Mvuta Bangi Kalegea, Wavuta Bangi Wanalegeaga? Ww Wa Kjj Gan? Wala Ucje Ukasema Mateja, Pale Hapana Kambi Ya Mateja. Km Alivaa Hereni Moja Ckio La Kushoto Huyo Kwa Town Ni Punga Au Choko. Ss Mtapgana Na machoko Watu C Watadhan Mmewala Viboga Af Mmekataa Kuwalipa! Maranyingi Waharifu Wa Maeneo Flan Hawatokag Mbali Na Ukute Wazaz Wao Ndo Viongoz Wa Mitaa, Mf.Magomen, Manzese, Tandika Likikukuta Hlo Lako. Madanguro Ya Mwananyamara Yapo Karibu Na Ofc Za Serikali Za Mtaa Na Hosptal Ya Mwananyamala, Na Kwingine Vibanda Vya Gongo Vpo Karibu Na Vituo Vya Police Na Maisha Yanaenda. Ndo Maana Ya Mjini Kila Mtu Anakufa Kvyake Hakuna Kuzoeana, Ujamaa Wa Nyerere Umebaki Mikoani. Mngetangaza Dau Watu Wangekuja Kuwasaidia.
Ushauri wangu sio kila sehemu ukiona wanauza chipsi ushuke kununua@ nafikiri ujifunze kupitia hilo tukiohabar zenu wakuu ? mi sitaki kusema mengi naandka uzi huu nikiwa nimejaa na huzun kutokana na kitendo kilichotokea
Ilikuwa majira ya saa 5 usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi nilikuwa nasafir naelekea kongo na rafk yangu na gar za IT nikiwa kama dereva pamoja na rafik yangu tuliamua kuchagua sehem ya kuweka mafuta tukitoka bandarn itakuwa tabata sheli ya puma wengne wanapaita al hamza
Baada ya kufika pale tukapata huduma nzur tu ya mafuta mim pamoja na rafk yangu tukasema usiku huu ngoja tukacheki chochote ili kuweka tumbo sawa tukavuka barabara upande wa pili kama unarud g/mboto kuna kituo cha daladala pemben yake wanauza chipsi 2kaketi pale 2kaanza kula chips,
Akat zoez la kula chips linaendelea akaj kijana mmoja mvuta bang akiwa kalegea legea kavaa na helen sikio la kushoto alivyokuja alikuja kwa heshima na kusema bro mi cjala toka jana tafadhali nisaidien ata buku ili nile yule mwenzangu akamwambia yule dogo kwa ukali bhana cc hatuna pesa siku nyingne mungu akipenda tutacheki tu ,
Dogo akaondoka akaenda kwa washkaj zake mara wakaja watu kama watatu hv nao walikuwa wakidai kua hawajala yule rafiki yangu niliyekua naye akasema mkuu twnde fasta linaweza tokea lolote akati tunavuka barabara kikaja kile kidogo cha mara ya kwanza kikasema bro haiwezekeni nipen hata buku yule rafki yangu akatoa buku akampa kosa likaanzia hapo dogo akataka pesa zote alizorudishiwa chench jamaa wakat ananua chips apewe yeye tena akisema maneno ya ukali achen usenge toeni hyo pesa fasta ,
Yule rafk akakabwa na yule dogo ndipo asira ziliponishika na kupiga ngumi moja adi yule dogo akanguka chin baada ya kuanguka chini wenzke wakaja kwahyo tukawa tunapambana na watu kama wanne kwa mtu mbili huku tukisema wezi , wez, cha ajabu nilichokiona mpaka naandka uzi huu ni kwamba wakaja wanaume kama kumi nikajua yes nimepata kampani ila walipofika wakaanza kushangaa tunavyopgana na wezi kwa kweli nilihuzunika sana na ni tukio ambalo sitakuja kulisahau katka maisha yangu lakin mpaka sahv najiuliza wanaume wa dar wanamatatzo gan jaman hata kutoa msaada wa kumkamata mwizi inakua shda
Nikarudisha akili nyuma juu ya tukio la panya road lilivyoshndwa kudhibitiwa tamko kali lilitoka dhid ya wanaume wa mikoan tena wale wa mara
Namalizia kwa kutoa wito kwenu wadau mtoe maoni yenu nin kifanyike kuhusu wenzetu wa dar
mkui kulikiwa hakuna namna nilishnda njaa toka asubuh kusubir gar itoke ndo nikakosa chakula mkuu nikaona sio mbaya kwa siku moja nile chakula chaoEti ninakula chips
Bila hata aibu
We wa mikoani siku nyingine utatafunwa siyo siri, chips waachie wenyewe na mamiregezo yao
Sasa ukianza na kupaka poda si ndo umekwisha tena, utaanzaje kurudi tarime
Sasa bro unashangaa nini? Hujui kwa nini Uturuki ya kibabe ilianguka? Sababu ilikuwa wanaume kugegedwa na wenzao huku wakibadilishana kwa zamu, wanaume wa Dar si lolote si chochote. Mtu alitobolewa macho, sembuse kuibiwa! Nguvu hawana tena kaka.Habari zenu wakuu? Mi sitaki kusema mengi naandka uzi huu nikiwa nimejaa na huzuni kutokana na kitendo kilichotokea.
Ilikuwa majira ya saa 5 usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi nilikuwa nasafiri naelekea Congo na rafiki yangu na gari za IT nikiwa kama dereva pamoja na rafiki yangu tuliamua kuchagua sehemu ya kuweka mafuta tukitoka bandarini itakuwa tabata sheli ya puma wengine wanapaita Alhamza.
Baada ya kufika pale tukapata huduma nzuri tu ya mafuta mimi pamoja na rafiki yangu tukasema usiku huu ngoja tukacheki chochote ili kuweka tumbo sawa tukavuka barabara upande wa pili kama unarudi G/mboto kuna kituo cha daladala pembeni yake wanauza chipsi tkaketi pale tukaanza kula chips.
Akata zoezi la kula chips linaendelea akaj kijana mmoja mvuta bangi akiwa kalegea legea kavaa na hereni sikio la kushoto alivyokuja alikuja kwa heshima na kusema bro mi sijala toka jana tafadhali nisaidien ata buku ili nile yule mwenzangu akamwambia yule dogo kwa ukali bhana sisi hatuna pesa siku nyingne Mungu akipenda tutacheki tu.
Dogo akaondoka akaenda kwa washikaji zake mara wakaja watu kama watatu hivi nao walikuwa wakidai kua hawajala yule rafiki yangu niliyekua naye akasema mkuu twende fasta linaweza tokea lolote akati tunavuka barabara kikaja kile kidogo cha mara ya kwanza kikasema bro haiwezekeni nipeni hata buku yule rafikii yangu akatoa buku akampa kosa likaanzia hapo dogo akataka pesa zote alizorudishiwa chenchi jamaa wakati ananua chips apewe yeye tena akisema maneno ya ukali acheni usenge toeni hiyo pesa fasta.
Yule rafiki akakabwa na yule dogo ndipo asira ziliponishika na kupiga ngumi moja hadi yule dogo akanguka chini baada ya kuanguka chini wenzake wakaja kwahiyo tukawa tunapambana na watu kama wanne kwa mtu mbili huku tukisema wezi, wezi, cha ajabu nilichokiona mpaka naandka uzi huu ni kwamba wakaja wanaume kama kumi nikajua yes nimepata kampani ila walipofika wakaanza kushangaa tunavyopigana na wezi kwa kweli nilihuzunika sana na ni tukio ambalo sitakuja kulisahau katika maisha yangu lakini mpaka sahivi najiuliza wanaume wa Dar wanamatatzo gani jamani hata kutoa msaada wa kumkamata mwizi inakua shida.
Nikarudisha akili nyuma juu ya tukio la Panya road lilivyoshndwa kudhibitiwa tamko kali lilitoka dhidi ya wanaume wa mikoan tena wale wa mara.
Namalizia kwa kutoa wito kwenu wadau mtoe maoni yenu nini kifanyike kuhusu wenzetu wa Dar.
kweli kabisa mkuuSasa bro unashangaa nini? Hujui kwa nini Uturuki ya kibabe ilianguka? Sababu ilikuwa wanaume kugegedwa na wenzao huku wakibadilishana kwa zamu, wanaume wa Dar si lolote si chochote. Mtu alitobolewa macho, sembuse kuibiwa! Nguvu hawana tena kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
tatzo hujui vzur mji ndo manaMbona hadithi yako haileweki Tabata hakuna kituo cha mafuta cha puma pili utawezaje kutoka Tabata sheli uelekee gongo la mboto bila kupitia buguruni
Sent using Jamii Forums mobile app