Kweli wanaume wa Dar mnatia aibu

Kweli wanaume wa Dar mnatia aibu

sasa hii ndio Darisalama usikae kibwegebwege yaan kwa ushamba wenu mida hyo ya saa tano unajiachia unatoa hela nyingi mfukoni lazma wanaume wa Dar wakushughulikie siku nyingine mtajifunza mkija Dar
 
Kwa hapa ngoja niwatetee, katika maisha usije ukaingilia ugomvi ambao haukuhusu na hujui nini chanzo na ogopa kuwa shahidi wa jambo ambalo umeliingilia tu bila kuombwa.

Hata mimi ningewaacha na ugomvi wenu.
 
Umemaliza kila kitu nlichokuwa nawaza kuhusu huyu dada anavyotulalamikia wanaume wa dar. Sijajua ni dada au kaka anyway....kwanza ni aibu sana kupigana na teja halafu tena anasema ni punga kwa maelezo yake.sasa kweli mtu anikute napambana na mateja au mapunga si atanishangaa? Halafu ionekane tupo weng tunawapiga mapunga? Jamaa ametunga ila amejichanganya pia hakutulia kujipanga

Stor Ni Yakutunga Hii, Labda Kwakua Unawacmulia Wanakjj Wenzio Lkn Saa 5 Usiku Ni Mapema Sana Kwa Dar Hasa Tabata. Watu Wanatoka Harucn Na Sendoff Saa 6 Had 7 Ucku Hiyo Ndo Junction Kipenz Ya Watu Wa Ubungo, Tabata Na Wanaoenda Buguruni. Af Unasema Kaja Kjana Mvuta Bangi Kalegea, Wavuta Bangi Wanalegeaga? Ww Wa Kjj Gan? Wala Ucje Ukasema Mateja, Pale Hapana Kambi Ya Mateja. Km Alivaa Hereni Moja Ckio La Kushoto Huyo Kwa Town Ni Punga Au Choko. Ss Mtapgana Na machoko Watu C Watadhan Mmewala Viboga Af Mmekataa Kuwalipa! Maranyingi Waharifu Wa Maeneo Flan Hawatokag Mbali Na Ukute Wazaz Wao Ndo Viongoz Wa Mitaa, Mf.Magomen, Manzese, Tandika Likikukuta Hlo Lako. Madanguro Ya Mwananyamara Yapo Karibu Na Ofc Za Serikali Za Mtaa Na Hosptal Ya Mwananyamala, Na Kwingine Vibanda Vya Gongo Vpo Karibu Na Vituo Vya Police Na Maisha Yanaenda. Ndo Maana Ya Mjini Kila Mtu Anakufa Kvyake Hakuna Kuzoeana, Ujamaa Wa Nyerere Umebaki Mikoani. Mngetangaza Dau Watu Wangekuja Kuwasaidia.
 
Mheshimiwa Rais ameshatukataza wanaume wa Dar kuchoma wezi moto... Huku Dar mtu alikuwa akiitiwa mwizi, dakika mbili nyingi alikuwa ameshageuzwa kuni... Kwa hiyo tumeitikia wito wa mh Rais. Sasa hivi wezi woote wanafikishwa kwenye kituo cha polisi na sio kupigwa kama zamani... Nadhani hukuwa na hii update mkuu. Pole sana kwa kadhia hiyo...
 
habar zenu wakuu ? mi sitaki kusema mengi naandka uzi huu nikiwa nimejaa na huzun kutokana na kitendo kilichotokea

Ilikuwa majira ya saa 5 usiku wa ijumaa kuamkia jumamosi nilikuwa nasafir naelekea kongo na rafk yangu na gar za IT nikiwa kama dereva pamoja na rafik yangu tuliamua kuchagua sehem ya kuweka mafuta tukitoka bandarn itakuwa tabata sheli ya puma wengne wanapaita al hamza

Baada ya kufika pale tukapata huduma nzur tu ya mafuta mim pamoja na rafk yangu tukasema usiku huu ngoja tukacheki chochote ili kuweka tumbo sawa tukavuka barabara upande wa pili kama unarud g/mboto kuna kituo cha daladala pemben yake wanauza chipsi 2kaketi pale 2kaanza kula chips,

Akat zoez la kula chips linaendelea akaj kijana mmoja mvuta bang akiwa kalegea legea kavaa na helen sikio la kushoto alivyokuja alikuja kwa heshima na kusema bro mi cjala toka jana tafadhali nisaidien ata buku ili nile yule mwenzangu akamwambia yule dogo kwa ukali bhana cc hatuna pesa siku nyingne mungu akipenda tutacheki tu ,

Dogo akaondoka akaenda kwa washkaj zake mara wakaja watu kama watatu hv nao walikuwa wakidai kua hawajala yule rafiki yangu niliyekua naye akasema mkuu twnde fasta linaweza tokea lolote akati tunavuka barabara kikaja kile kidogo cha mara ya kwanza kikasema bro haiwezekeni nipen hata buku yule rafki yangu akatoa buku akampa kosa likaanzia hapo dogo akataka pesa zote alizorudishiwa chench jamaa wakat ananua chips apewe yeye tena akisema maneno ya ukali achen usenge toeni hyo pesa fasta ,


Yule rafk akakabwa na yule dogo ndipo asira ziliponishika na kupiga ngumi moja adi yule dogo akanguka chin baada ya kuanguka chini wenzke wakaja kwahyo tukawa tunapambana na watu kama wanne kwa mtu mbili huku tukisema wezi , wez, cha ajabu nilichokiona mpaka naandka uzi huu ni kwamba wakaja wanaume kama kumi nikajua yes nimepata kampani ila walipofika wakaanza kushangaa tunavyopgana na wezi kwa kweli nilihuzunika sana na ni tukio ambalo sitakuja kulisahau katka maisha yangu lakin mpaka sahv najiuliza wanaume wa dar wanamatatzo gan jaman hata kutoa msaada wa kumkamata mwizi inakua shda

Nikarudisha akili nyuma juu ya tukio la panya road lilivyoshndwa kudhibitiwa tamko kali lilitoka dhid ya wanaume wa mikoan tena wale wa mara

Namalizia kwa kutoa wito kwenu wadau mtoe maoni yenu nin kifanyike kuhusu wenzetu wa dar
Ushauri wangu sio kila sehemu ukiona wanauza chipsi ushuke kununua@ nafikiri ujifunze kupitia hilo tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah Mtu Anaanika Ushamba Wake Hadharan Unafkr Nn! Mbeya Mjini Ikifka Saa Tatu Ucku Bado Unazurura Kitakachokukuta Uclaumu Watu, Arusha Kukabwa Saa11 Au 12 Jioni Co Kitu Cha Kushangaa. Af Et Mvuta Bangi Kalegea, Unaijua Bangi Ww? Mkija Mjini Muwe Mnauliza Msijfanye Wajuaji. Kuna Mama Alikabwa Airport Dar Saa11 Alfajir Na Magari Yanapita Hakuna Linalo Cmama Kumpa Msaada, Watu Wapo Kazn. Ukivamiwa Na Majambaz, Police Wanakuja Baada Ya Majambaz Kusepa. Ukilewa Chakali Ukazima, Wengine Watakusachi Na Wengine Watakulawiti, Ni Kuishi Kwa Hesabu Tu, Mnaolalamika Ni Wa Mikoani
 
acha kuwazalilisha wanaume wa Dar bhana sio kama hawakuwa na uwezo wa kukutetea walikuwa wanawafahamu hao vibaka ndio mana waliwaacha
 
Eti ninakula chips

Bila hata aibu

We wa mikoani siku nyingine utatafunwa siyo siri, chips waachie wenyewe na mamiregezo yao

Sasa ukianza na kupaka poda si ndo umekwisha tena, utaanzaje kurudi tarime
mkui kulikiwa hakuna namna nilishnda njaa toka asubuh kusubir gar itoke ndo nikakosa chakula mkuu nikaona sio mbaya kwa siku moja nile chakula chao
 
acha kuwazalilisha wanaume wa Dar bhana sio kama hawakuwa na uwezo wa kukutetea walikuwa wanawafahamu hao vibaka ndio mana waliwaacha
kweli mkuu hlo nililihisi
 
Habari zenu wakuu? Mi sitaki kusema mengi naandka uzi huu nikiwa nimejaa na huzuni kutokana na kitendo kilichotokea.

Ilikuwa majira ya saa 5 usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi nilikuwa nasafiri naelekea Congo na rafiki yangu na gari za IT nikiwa kama dereva pamoja na rafiki yangu tuliamua kuchagua sehemu ya kuweka mafuta tukitoka bandarini itakuwa tabata sheli ya puma wengine wanapaita Alhamza.

Baada ya kufika pale tukapata huduma nzuri tu ya mafuta mimi pamoja na rafiki yangu tukasema usiku huu ngoja tukacheki chochote ili kuweka tumbo sawa tukavuka barabara upande wa pili kama unarudi G/mboto kuna kituo cha daladala pembeni yake wanauza chipsi tkaketi pale tukaanza kula chips.

Akata zoezi la kula chips linaendelea akaj kijana mmoja mvuta bangi akiwa kalegea legea kavaa na hereni sikio la kushoto alivyokuja alikuja kwa heshima na kusema bro mi sijala toka jana tafadhali nisaidien ata buku ili nile yule mwenzangu akamwambia yule dogo kwa ukali bhana sisi hatuna pesa siku nyingne Mungu akipenda tutacheki tu.

Dogo akaondoka akaenda kwa washikaji zake mara wakaja watu kama watatu hivi nao walikuwa wakidai kua hawajala yule rafiki yangu niliyekua naye akasema mkuu twende fasta linaweza tokea lolote akati tunavuka barabara kikaja kile kidogo cha mara ya kwanza kikasema bro haiwezekeni nipeni hata buku yule rafikii yangu akatoa buku akampa kosa likaanzia hapo dogo akataka pesa zote alizorudishiwa chenchi jamaa wakati ananua chips apewe yeye tena akisema maneno ya ukali acheni usenge toeni hiyo pesa fasta.


Yule rafiki akakabwa na yule dogo ndipo asira ziliponishika na kupiga ngumi moja hadi yule dogo akanguka chini baada ya kuanguka chini wenzake wakaja kwahiyo tukawa tunapambana na watu kama wanne kwa mtu mbili huku tukisema wezi, wezi, cha ajabu nilichokiona mpaka naandka uzi huu ni kwamba wakaja wanaume kama kumi nikajua yes nimepata kampani ila walipofika wakaanza kushangaa tunavyopigana na wezi kwa kweli nilihuzunika sana na ni tukio ambalo sitakuja kulisahau katika maisha yangu lakini mpaka sahivi najiuliza wanaume wa Dar wanamatatzo gani jamani hata kutoa msaada wa kumkamata mwizi inakua shida.

Nikarudisha akili nyuma juu ya tukio la Panya road lilivyoshndwa kudhibitiwa tamko kali lilitoka dhidi ya wanaume wa mikoan tena wale wa mara.

Namalizia kwa kutoa wito kwenu wadau mtoe maoni yenu nini kifanyike kuhusu wenzetu wa Dar.
Sasa bro unashangaa nini? Hujui kwa nini Uturuki ya kibabe ilianguka? Sababu ilikuwa wanaume kugegedwa na wenzao huku wakibadilishana kwa zamu, wanaume wa Dar si lolote si chochote. Mtu alitobolewa macho, sembuse kuibiwa! Nguvu hawana tena kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bro unashangaa nini? Hujui kwa nini Uturuki ya kibabe ilianguka? Sababu ilikuwa wanaume kugegedwa na wenzao huku wakibadilishana kwa zamu, wanaume wa Dar si lolote si chochote. Mtu alitobolewa macho, sembuse kuibiwa! Nguvu hawana tena kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa mkuu
 
Mbona hadithi yako haileweki Tabata hakuna kituo cha mafuta cha puma pili utawezaje kutoka Tabata sheli uelekee gongo la mboto bila kupitia buguruni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom