Madabwada
JF-Expert Member
- May 8, 2009
- 541
- 320
Acha kujastifai ww,
Mie sitakuwa na cha kumwelewesha, nadhani hiyo itakuwa ni kazi ya ndugu zake,
Mie nitakuwa busy na aliyeniona na kunikubali wakati wa shida na matatizo yangu,
Tena km ni mie miaka mitatau naenda kuvunja ndoa mahakamani nakuwa huru kuwa namtu mwingine,
Nikishakuwa huru,na pale nahama kbs sitaki,km yy kidume kweli aje kunifata nyumbani kwa mwanaume mwingine aone shuhuli yake!
Canty, sidhani kama BPM ana-justify hii issue, lkn we are just trying to look it from the other side of the coin as walivyopendana na kuamua kuishi pamoja, kama mumewe alikosea na ku-cheat, was this a justification kwamba na yeye atafute mtu wa kumpoza?? "katika shida na raha" hapa iko wapi?? na je kifo kimeshawatenganisha?? and the point was hakwenda mahakamani kuvunja ndoa so bado ni mumewe, why huwezi kusamehe??