Kweli wanaume wengine kazi ipo ......

Canty, sidhani kama BPM ana-justify hii issue, lkn we are just trying to look it from the other side of the coin as walivyopendana na kuamua kuishi pamoja, kama mumewe alikosea na ku-cheat, was this a justification kwamba na yeye atafute mtu wa kumpoza?? "katika shida na raha" hapa iko wapi?? na je kifo kimeshawatenganisha?? and the point was hakwenda mahakamani kuvunja ndoa so bado ni mumewe, why huwezi kusamehe??
 
madabwada ni sawa lakini katika kiapo cha raha na shida pia hakijaelezea suala la kucheat ... hapa ni moyo wa mtu katika maamuzi ndo unaokuwa na nafasi zaidi, hapo uliposema hakuna aliyeenda mahakamani kwa ajiri ya kutengana ni sawa lakini bado kinahitajika huruma au maumivu ya mwenza katika maamuzi
 
Hapa mie nimeongelea kwa upande wangu,siwezi kuwa na mda wa kujalidili naye kitu km hiki,
Huyo muhusika maamuzi anayo yeye mwenyewe atajua amsamehe au amkatae km nilivyomshauri,
Kwa upande wangu wala asingenikuta namsubiri,miaka 7 ni mingi kwa mtu aliyetoroka na huna mawasiliano naye,
Hivo ningeshaenda mahakamani na kuolewa na mwingine sikumyingi tu,
Siwezi kuishi miaka 7 bila kuwa na mtu labda niwadanganye!
Ishu ni kumsamehe ila si kurudiana km akinikuta bado sijaivunja hiyo ndoa.
 
Reactions: BPM
Kumbe unaelewa eeee!
Asante sana,mie hapo namtoa nduki kali sana!
Akijitia ubabe namwitia mwizi tu ebo!
Kwanz atanikuta kwa mume mpya,chezea miaka saba ww!
 
C hilo la kuwa na mahusiano mengin nakuunga mkono kama nilivyokuambia awali wewe si malaika maadam uko ok ni lazima upate kitulizo haya mengine ni ya ziada na yako ndani ya maamuzi yako
 
BPM, hizo hardles huyo mama alizopitia siyo shida kweli?? though, kiapo kiko too general but i will still argue kwamba hilo liko inclusive. Kusamehe ni muhimu, kwani siye twafanya maovu mangapi sirini na tunaamini through Allah's forgiveness, kwanini sisi tusisamehe wenzetu?? msamaha wa kweli hauna masharti ... samehe 7 mara 70 ... manake samehe mara zote
 
Kumbe unaelewa eeee!
Asante sana,mie hapo namtoa nduki kali sana!
Akijitia ubabe namwitia mwizi tu ebo!
Kwanz atanikuta kwa mume mpya,chezea miaka saba ww!

kumkimbiza utakuwa umetumia nguvu nyingi sana ... suala ni kumwelewesha tu wala hatakusumbua ila roho itamsuta
 
now lets put it to you, kama angekukuta hujaenda mahakamani kuvunja ndoa ungemsamehe?? if not, then why??
 
si kila kosa linatakiwa kusamehewa maana inategemea na madhara ya kosa
 
C hilo la kuwa na mahusiano mengin nakuunga mkono kama nilivyokuambia awali wewe si malaika maadam uko ok ni lazima upate kitulizo haya mengine ni ya ziada na yako ndani ya maamuzi yako

kama humuungi mkono katika suala lake la mahusiano, why umuunge mkono katika kutokumsamehe mumewe?? are we really that much saints??
 
si kila kosa linatakiwa kusamehewa maana inategemea na madhara ya kosa

kosa gani halipaswi kusamehewa mkuu??
watu wanaua, wanatoa mimba, wanafanya uchafu wote, .... je! wakitubu kweli muumba huwa hawasamehi??
kama twafanya uchafu wote huo na Muumba anatusamehe, iweje sie tusisamehe??
 
Vp mwanamke asepe 7 yearz akirudi wanaume mtamsamehe? Mi binafsi nitamsamehe moyoni lakini akitaka rudi ndoani nitamkimbiza na sime then namimi anisamehe lakini ndoa hata akikataa she has all rights for that..
 
kama humuungi mkono katika suala lake la mahusiano, why umuunge mkono katika kutokumsamehe mumewe?? are we really that much saints??

ndo maana nimesemahatakiwi kufanya maamuzi papo kwa papo anatakiwa kupata muda kwani katika kipindi chote hicho kuna mengi yametokea lakini bado kuna nafasi
 
Ebu BPM na Madabwada nijibuni swali langu hapo juu vp mwanamke akukimbie 7 yearz?
 
Vp mwanamke asepe 7 yearz akirudi wanaume mtamsamehe? Mi binafsi nitamsamehe moyoni lakini akitaka rudi ndoani nitamkimbiza na sime then namimi anisamehe lakini ndoa hata akikataa she has all rights for that..

hahahahaaaa ... nini kitakufanya umkimbize na sime mkuu?? why shouldnt you sit down with mkeo na kujua nini kilimpata?? events kama hizi zinafanya madogo "mabachellors" waone ndoa ni ndoano kwa kweli!
 
seven years hapana...aende tuu alikotoka..........huyo shetani saa hivi kaenda wapi???wanapenda kumsingizia sana shetani unless otherwise amshike huyo shetani mkono ampeleke kwa huyo mama na kumuonyesha shetani mwenyewe ni huyu na amekoma.
 
kosa gani halipaswi kusamehewa mkuu??
watu wanaua, wanatoa mimba, wanafanya uchafu wote, .... je! wakitubu kweli muumba huwa hawasamehi??
kama twafanya uchafu wote huo na Muumba anatusamehe, iweje sie tusisamehe??

hakuna aliyeenda kwa muumba na kuhakiki kwamba kasamehewa ila tunaweka imani
 
seven years hapana...aende tuu alikotoka..........huyo shetani saa hivi kaenda wapi???wanapenda kumsingizia sana shetani unless otherwise amshike huyo shetani mkono ampeleke kwa huyo mama na kumuonyesha shetani mwenyewe ni huyu na amekoma.

yes yuko tayari kwenda kukuonyesha huyo shetani aliyesababisha yote hayo, atajutia makosa yake kiukweli kabisa, utamsamehe?? kama hapana, kwanini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…