Kweli wanaume wengine kazi ipo ......

Kweli wanaume wengine kazi ipo ......

swali hapa ni kwa nini huyu mwanamke'hakutafuta' kidume kingine
cha kum replace huyo..'b.w.e.g.e ?????????????
 
Sijui kwa nini katika hiyo miaka 7 huyu mama hakuomba talaka mahakamani. Bado hajachelewa, kwanza ammlazimishe huyo b.w.e.g.e (Source: The Boss) atoe talaka, akisha kufanya hivyo, amsamehe na "kumkaribisha" kwa heshima zote, AONDOKE HAPO NA NYUMBA AIONE PAA!
 
Heheheheee wengine tukisema kile tunachotaka kusema tutaitwa watu wa ajabu bure. Kwa hiyo ngoja tu niseme kile kilicho 'mainstream' kwenye MMU ya JF.

Huyo mwanamke amsamehe huyo mumewe mara sabini. Amsamehe na waendelee kuishi pamoja. Kusamehe na kusameheana ndo mpango mzima. Hata mungu anasema hivyo.
 
Huyo mimi binafsi nisingethubutu hata kumpa nafasi ya kuomba msamaha
 
hapo ndo pagumu cause kwa kipindi chote alikuwa anakaa na wanae tu...

umeona?
dawa ya mwanaume ni mwanaume..
angekuwa na kidume kingine,huyo mumewe angerudia njia ipi?

halafu hiyo avatar aisee,subiria pm za wadogo zako kama sio wanao lol
 
Heheheheee wengine tukisema kile tunachotaka kusema tutaitwa watu wa ajabu bure. Kwa hiyo ngoja tu niseme kile kilicho 'mainstream' kwenye MMU ya JF.

Huyo mwanamke amsamehe huyo mumewe mara sabini. Amsamehe na waendelee kuishi pamoja. Kusamehe na kusameheana ndo mpango mzima. Hata mungu anasema hivyo.

kweli mie nilishindwa kufungua mdomo wangu,ingawa jibu langu lingekuwa arudi alipotoka
 
Ningemfukuzilia mbali,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,shetani or not!!
 
mhh what if ana ngoma? hata kisheria ukishamwacha mwenzio kwa miaka mitano bila mawasiliano yoyote wana assume umekufa na ndoa inakuwa ishafutika.
sishauri sana warudianae hakuna cha mipango ya MUngu hapo Mungu hawezi kuruhusu hilo hata siku moja
huyo mama atakuja kuumizwa zaidi yawezekana ni gia ya kuja kumharibia kabisa.hujasema kama anapoishi ni nyumba wamejenga wote na mumewe au huyo mama kapanga ,kama ni nyumba yao basi msishangae akamtimua huyo mama amlete hyo small house wake
wanaume hatuna adabu hasa suala la mapenzi
my dear first lady kuwa makini kwa hili mpeposibilities ili achague na asali sana.
 
Back
Top Bottom