Kweli wasanii wamekubali WBC itawale muziki wa Tanzania peke yao?

Ktk maisha hamna kitu kizuri kama kujiamini na hamna kitu kibaya kama uoga na unyonge.Mwisho wa siku nina uhakika CMG watakaa chini na WCB wataongea kibiashara na si Kiushikaji kama zamani na watapewa mpuga mrefu huku wale wasanii wengine wakiishia wakinung'unika ,kwasababu ktk entertainment industry ya bongo ni ngumu kuwaepuka WCB.Kwani Youtube na social network zote wameshika wao,mf humu jf ktk jukwaa la Celebrities piga ua galagaza lazima ukutane na uzi wowote wa member wa WCB ,ukija huku mtaani na kwenye vibanda vya kuingiza nyimbo zote wameshika wao.
 
Umemaliza kila kitu mkuu,hakuna jinsi ya kuwaepuka,na hakuna njia ya kumwepuka mond ukizungumzia mziki wa bongo na east africa la si vyo utaonekana mnafiki
 
Nimewaza sana hivi nini hawa wasanii wengine hawana ambacho wcb wanavyo peke yao,yani licha ya kubaniwa na media but ndo habari ya mjini,yaani you tube yote wameikamata hadI huruma nyimbo zao ndo trending kinoma daaah, wasaini (AMKENI) maoni jamani wana Jf OK
wasanii wa bongo walizoea kulizika mapema sasa wenye njaa wamekuja wala hawaliziki
 
Mlezi Mkuu wa WCB ni RC PAUL MAKONDA na makonda ki uhalisia ni mbabe wa kivita.Sasa kwa Tanzania hii ushikwe mkono na Makonda unadhan nn kinafata ni kutoboa tu
 
Watu wamefanya kazi kwa machozi na damu mbaka wametoboa wewe unasema "wameachiwa"

Hao wasanii wengine hawana work ethic. Bata nyingi kuliko kazi za sanaa
 
Nimewaza sana hivi nini hawa wasanii wengine hawana ambacho wcb wanavyo peke yao,yani licha ya kubaniwa na media but ndo habari ya mjini,yaani you tube yote wameikamata hadI huruma nyimbo zao ndo trending kinoma daaah, wasaini (AMKENI) maoni jamani wana Jf OK
Nayo itakufa kama Bongo Movie tu kwa ujinga wao kuwa tawi la chama
 
WCB siyo kundi ni Record Label,Kampuni hiyo iko kibiashara.Wanaweza kusajili Msanii wanaeona ataleta faida kwao
 
Kweli kabisa wasanii wengi hawapo kiushindani wanatoa nyimbo za kawaida wasafi wataendelea kutusua ngoja tuone fiesta mwaka huu kama itabamba
 
Back
Top Bottom