joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Umemaliza kila kitu mkuu,hakuna jinsi ya kuwaepuka,na hakuna njia ya kumwepuka mond ukizungumzia mziki wa bongo na east africa la si vyo utaonekana mnafikiKtk maisha hamna kitu kizuri kama kujiamini na hamna kitu kibaya kama uoga na unyonge.Mwisho wa siku nina uhakika CMG watakaa chini na WCB wataongea kibiashara na si Kiushikaji kama zamani na watapewa mpuga mrefu huku wale wasanii wengine wakiishia wakinung'unika ,kwasababu ktk entertainment industry ya bongo ni ngumu kuwaepuka WCB.Kwani Youtube na social network zote wameshika wao,mf humu jf ktk jukwaa la Celebrities piga ua galagaza lazima ukutane na uzi wowote wa member wa WCB ,ukija huku mtaani na kwenye vibanda vya kuingiza nyimbo zote wameshika wao.
wasanii wa bongo walizoea kulizika mapema sasa wenye njaa wamekuja wala hawalizikiNimewaza sana hivi nini hawa wasanii wengine hawana ambacho wcb wanavyo peke yao,yani licha ya kubaniwa na media but ndo habari ya mjini,yaani you tube yote wameikamata hadI huruma nyimbo zao ndo trending kinoma daaah, wasaini (AMKENI) maoni jamani wana Jf OK
enzi sio ? mondi anaenda mwaka wa 7 sasa since 2012 mnasubiri anguko lakeKutesa kwa zamu. Hata juma natute aliwika sana enzi zake. Bila kusahau kundi la akina GK etc
enzi sio ? mondi anaenda mwaka wa 7 sasa since 2012 mnasubiri anguko lake
lekebisha kidogo 2009 kamwambie unatoka miaka 9 sasaenzi sio ? mondi anaenda mwaka wa 7 sasa since 2012 mnasubiri anguko lake
lekebisho kidogo 2009 kamwambie inatokaenzi sio ? mondi anaenda mwaka wa 7 sasa since 2012 mnasubiri anguko lake
Nayo itakufa kama Bongo Movie tu kwa ujinga wao kuwa tawi la chamaNimewaza sana hivi nini hawa wasanii wengine hawana ambacho wcb wanavyo peke yao,yani licha ya kubaniwa na media but ndo habari ya mjini,yaani you tube yote wameikamata hadI huruma nyimbo zao ndo trending kinoma daaah, wasaini (AMKENI) maoni jamani wana Jf OK
Mmmmmm sijui,mwaka jana yenyewe ilibumaKweli kabisa wasanii wengi hawapo kiushindani wanatoa nyimbo za kawaida wasafi wataendelea kutusua ngoja tuone fiesta mwaka huu kama itabamba
Afu wamekalia majungu wakoma tuKweli kabisa wasanii wengi hawapo kiushindani wanatoa nyimbo za kawaida wasafi wataendelea kutusua ngoja tuone fiesta mwaka huu kama itabamba
OK nimekupataWCB siyo kundi ni Record Label,Kampuni hiyo iko kibiashara.Wanaweza kusajili Msanii wanaeona ataleta faida kwao
Daaah wametishaNaona wasafi TV iko hewani