ndo maana yake au ndo nini tena hiyo
Yes,ndo maana yake.Umeelewa sema unazuga tu.
binamu unapata shida ya nini hapo? ya maana ukigegedwa na jamaa huko mwami akijua akae kimya nawe kimya hamna kurudia wala kulisemea hilo tendo. maisha yanasonga...
umeona eh...!haaa kumbe ndo hvyo binamu sikuwelewa siunajua kiswahili chetu kilivyo kigumu
Ujue mimi sijaelewa!
sizugi mwenzio kweli sijui naomba uniambie mana yake best?
Mkeo akigegedwa utasema?
Hahahahah,dini yangu hairuhusu kutamka hilo neno.
hivi wewe mbona sikuelewi yaani sijakusoma kabisa
labda Jiwe Linaloishi anisaidie hapa kuja kipande hichi
unidadavulie hapa
hahahhah ladyfurahia kama mimi na wewe..........!!!! iwe siri kwa Mentor
Swadaktaa Mtoto halali na helahatasema sababu hata wakati anamuoa alikuwa hana seel
Hao uliowakopi siyo wazee ni vijana. heri ungenikopi mie.
Swadaktaa Mtoto halali na hela