Mkuu Ulimakafu unamkumbuka Said Swed Scud wewe?Scud yule wa enzi za Abas Gulamali?unakumbuka alivyokua anaifunga Simba anavyotaka?unakumbuka ndio mchezaji wa kwanza wa ligi ya ndani kumiliki gari dogo la kuendea mazoezini?unakumbuka Gulamal aliwahi kutoa chozi kutokana na burudani ya mshikaji uwanjani?lakini kilichofatia ni kuiringia Yanga?akisema mazoezi hayana hadhi na sasa yeye na mazoezi sasa basi isipokua atakua anacheza mechi tuu?unakumbuka nini kilifuatia baada ya hapo?alifukuzwa jangwani zikiwa zimebaki dk chache kuumana na Simba na Yanga akaua mtu,baada ya kutimliwa akarudi zake Mirambo FC na mpira ukafa.
Kiiza anajiona star na hadhi yake sii ya $35,000 ambazo Yanga walikua tayari kumpa na ambazo wachezaji karibu wote wa Yanga wamepewa.Lakini pia kwa ushauri wa coach kasema kwamba kama hataki kusaini kwa pesa hiyo wamwache maana kuna Ngasa,Nizar,Kabange na Msuva wanaoweza kucheza vizuri zaidi.
Hapa Yanga wanabaki kwenye falsafa yao kwamba hawana desturi ya kumbembeleza mchezaji!!
Aah, kumbe issue ni pesa!

Lakini Yanga walimtimua.May 18 mwaka 1991 Saidi Sued anapachikwa jina la Scud na Mtangazaji Charles Hillary baada ya kutupia goli la pili na Simba kuondoka uwanjani wakiwa wamelowana kwenye sehemu ya wowowo...
Yes mkuu.
Yanga wamemuwekea mezani $35,000 yeye kachomoa anataka $50,000!!!!!
Ngasa kalamba $30,000 tuu,sasa yeye na Ngassa nani jembe?
Ngassa ni jembe, kama kachukua $30,000, Kiiza anastahili $25,000 kama kawekewa $35,000 hataki, LET HIM GO. Yanga ilikuwepo kabla ya Kiiza kuzaliwa na itaendelea kuwepo bila Kiiza. Go, go, go Kiiza.
Kumbe na nyie huwa mnaishiwa? na mnaenda kucheza ligi ya mabingwa, kuweni makini la sivyo mtakuwa mkifungwa tu kama hamtaleta fowadi ya maana.Mkuu Ulimakafu unamkumbuka Said Swed Scud wewe?Scud yule wa enzi za Abas Gulamali?unakumbuka alivyokua anaifunga Simba anavyotaka?unakumbuka ndio mchezaji wa kwanza wa ligi ya ndani kumiliki gari dogo la kuendea mazoezini?unakumbuka Gulamal aliwahi kutoa chozi kutokana na burudani ya mshikaji uwanjani?lakini kilichofatia ni kuiringia Yanga?akisema mazoezi hayana hadhi na sasa yeye na mazoezi sasa basi isipokua atakua anacheza mechi tuu?unakumbuka nini kilifuatia baada ya hapo?alifukuzwa jangwani zikiwa zimebaki dk chache kuumana na Simba na Yanga akaua mtu,baada ya kutimliwa akarudi zake Mirambo FC na mpira ukafa.
Kiiza anajiona star na hadhi yake sii ya $35,000 ambazo Yanga walikua tayari kumpa na ambazo wachezaji karibu wote wa Yanga wamepewa.Lakini pia kwa ushauri wa coach kasema kwamba kama hataki kusaini kwa pesa hiyo wamwache maana kuna Ngasa,Nizar,Kabange na Msuva wanaoweza kucheza vizuri zaidi.
Hapa Yanga wanabaki kwenye falsafa yao kwamba hawana desturi ya kumbembeleza mchezaji!!
Hahahahaha!Kumbe na nyie huwa mnaishiwa? na mnaenda kucheza ligi ya mabingwa, kuweni makini la sivyo mtakuwa mkifungwa tu kama hamtaleta fowadi ya maana.
Kumbe na nyie huwa mnaishiwa? na mnaenda kucheza ligi ya mabingwa, kuweni makini la sivyo mtakuwa mkifungwa tu kama hamtaleta fowadi ya maana.
Kwa majembe tunayoyapigia misele yakisaini pale Msimbazi muombe tusikutane kule Sudan, tukikutana lazima tuwapige tano nje ya nchi.Hahahahaha!
Mkuu tutaonana sudan.
Naona wanataka kutupa raha sisi wa upande wa pili kama wataendelea na fowadi zao hizo hizo za Kiiza, Bahanuzi, Tegete na Kavumbagu, sisi hatutawahurumia eti kwa sababu ni timu ya nyumbani, mkikutana na timu kama za SA au uarabuni au Africa ya Magharibi sisi itakuwa ni meno yote thelathini na nje mbili.Hili ni wazo makini, mi pia nina mtizamo kama wako. Yanga wakipata fowadi (scorer) angalau mmoja mwenye nguvu itakuwa tishio, wangeachana na the likes of kiiza, kabange sijui beko halafu hizo hela wakainvest kumpata mshambuliaji wa maana!
Kumbe na nyie huwa mnaishiwa? na mnaenda kucheza ligi ya mabingwa, kuweni makini la sivyo mtakuwa mkifungwa tu kama hamtaleta fowadi ya maana.
May 18 mwaka 1991 Saidi Sued anapachikwa jina la Scud na Mtangazaji Charles Hillary baada ya kutupia goli la pili na Simba kuondoka uwanjani wakiwa wamelowana kwenye sehemu ya wowowo...