1kush africa JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 10,198 Reaction score 14,372 May 21, 2019 #181 Victoire said: Pombe ilinishinda kabisa,kila nikionja naona chungu,huwa ninawashangaa wanywaji. Click to expand... Na wao walivokuwa wadogo waiichukia, ila cha ajabu walivokuwa wakatumbukia huko
Victoire said: Pombe ilinishinda kabisa,kila nikionja naona chungu,huwa ninawashangaa wanywaji. Click to expand... Na wao walivokuwa wadogo waiichukia, ila cha ajabu walivokuwa wakatumbukia huko
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,366 Reaction score 161,495 May 21, 2019 #182 Sanchez magoli said: Unitunze vizuri nisije okota makopo mie Ngoja tusonge ugali wa masela hapa shamba tushibe; baadae jioni inshallah. Click to expand... Take care babake! Mie ni mtu mzima, ondoa shaka!
Sanchez magoli said: Unitunze vizuri nisije okota makopo mie Ngoja tusonge ugali wa masela hapa shamba tushibe; baadae jioni inshallah. Click to expand... Take care babake! Mie ni mtu mzima, ondoa shaka!
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 8,711 Reaction score 19,296 May 21, 2019 #183 manengelo said: Mie huwa nna mdomo mbaya sana ngoja nisiandike ninaloliwaza kwako...!kwamba unaovertake had kwenye KONA Click to expand... Kuna wengine nikiwaona na mademu nawaza hawa lazma watakufa kwa ngwe ngwe... Kufa ni kufa tu no matter... Huwa naenjoy sana mkuu... Namshkaji wangu alipiga mzinga na gari hadi engine ilikuwa haifai kutumika hata kwa spear.... Na hakutoka mtu
manengelo said: Mie huwa nna mdomo mbaya sana ngoja nisiandike ninaloliwaza kwako...!kwamba unaovertake had kwenye KONA Click to expand... Kuna wengine nikiwaona na mademu nawaza hawa lazma watakufa kwa ngwe ngwe... Kufa ni kufa tu no matter... Huwa naenjoy sana mkuu... Namshkaji wangu alipiga mzinga na gari hadi engine ilikuwa haifai kutumika hata kwa spear.... Na hakutoka mtu