Kwenda Club Usiku

Aisee napenda sana muziki..club naweza kukesha huko..ila pombe..sigara..hapana.
 
Wala hata usipende tena kupasikia ni kama kuzimu tu. Hongera Sana.. pamenisababishia Ma hasara mengi Sana pumbav
Sijawahi kuwaza hata kupachungulia kabisaaa
 
Chochote cha kuvuta mimi kimenishinda hapo ni sigara na ulevi wa aina hiyo wote nawashangaa sana wavutaji dah ,starehe yangu mziki now nimekua siwezi kwenda club nina mengi ya muhimu zaidi ya kufanya hivyo nasikiliza tu mziki muda wote
 
Mimi nnapepo la kwenda club..hahahaa...napenda nianze alh had jpl ...nimeshindwa acha kbs...
Napenda kucheza popote nikisikia bang la maana...Napata shida sana yaan kujicontrol
Khaaa, hadi utu uzima huu frm alh had jpl?
 
Katika vitu nilivyokuja jutia ni muda niliopoteza kwenda club. Kesho yake unaamka saa sita. Hapo umelost sana. Nadhani ningekua mbali zaidi.
 
Dah u miss a lot. Club gani nisiyoijua hapa town. Labda iliyoanzishwa mwaka juzi maana nimestaafu Sasa.

Mzee baba bora umeacha awamu hii ungeona vitu vya ajabu sana me naendaga sometimes ila huwa nachil sehemu moja naangalia vijana wanavyopambana, nabaki kucheka tu....maisha yanaenda kasi sana aisee
 
Chochote cha kuvuta mimi kimenishinda hapo ni sigara na ulevi wa aina hiyo wote nawashangaa sana wavutaji dah ,starehe yangu mziki now nimekua siwezi kwenda club nina mengi ya muhimu zaidi ya kufanya hivyo nasikiliza tu mziki muda wote
Ofcoz mkuu ni vyema
 
Katika vitu nilivyokuja jutia ni muda niliopoteza kwenda club. Kesho yake unaamka saa sita. Hapo umelost sana. Nadhani ningekua mbali zaidi.
Daah pole sana mkuu... Hangover huwa zinakera sanaa unapoteza siku nzimaa hujielewi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…