Kwenda Club Usiku

Kubet nilijaribu kama mara 6 nikaliwa mara 2 nikala mara 4 ila niliacha.
 
Mimi nilibet ....tena ina addiction betting maana nilikua nikifikiria nilivyokula kuliko kuliwa nikawa natamani niendelee ila nikapotezea
Hahaha usiniambie nawe ushatandika sana majamvi; kipindi niko chuo nishawahi tia hela ya boom yote 450 laki iliyokuwa imeingizwa na loanz board nikaliwa. Aisee wiki nzima siku sawa na siku ingia class. Chaajabu sikukoma ndo niliendelea tandika mikeka kisawa, betting ni mmoja ya addiction mbaya sana
 
Nishabet mara 6 tu Mkuu tena ilikua mwaka jana mwishoni.
 
Pole sana babake!
Nakuletea chai saivi usijali kabisaaa!


Sio kwamba siwezi kwenda, ila sipendi tuu!
Endelea kutopenda ivo ivo.

Ntaanza kukupeleka viwanjani
Angalia soka; kazi kubwa itakayo
Kuwa mbele yangu ni kukufanya uipende
Arsenal na simba sport club;
 
Kuchana mkeka ndo kufanyaje? Nililiwa mara 2 nilikula mara 4
Kuchana mkeka maana yake n kuto shinda betting: una kismart ulianza vizuri. Nashukuru mungu na kama mwaka mmoja sasa sijawahi bett maana tiyari nilikuwa addicted mpaka najiulizaga hivi kweli nimeweza acha. Japo Mimi siku zote nilikuwa naweka laki enda juu, nilikuwa nikiliwa bet naliwa kisawa sawa na nikila nakula kisawa sawa.
 
Ohoo basi nilichana mkeka mara mbili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].

Usibet tena achana navyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…