Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,549
Sasa hivi nimepumzika ni mwaka sasaOhoo basi nilichana mkeka mara mbili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Usibet tena achana navyo
Hahaha hahahaAlafu kuna siku nilikukuta kwenye ule Uzi mamsapu
Nikajisema huyu sakayo mfukunyuku;
Nikapita kimya kimya.
Hizo mambo siwezi fundisha mtu nayemjali
Nami na washukuru sana walivogoma.Hahaha hahaha
Watu wa kule wachoyo sana babake! Waligoma kunifundisha kubet!..
Ila ukipata usinisahau mimi!
Upo kama mm..nikisikia mziki mzuri huwa nakua clear headed balaa san..nadhan hakuna kitu naenjoy km kusikia mziki mzuri...kuna yule mdogo wake John Dilinga jaman ni dj mzuri yuleee...huwa nataman kuondoka saa11🤗...music kwangu ni tiba kuu..except za wakongo..huwa najionea tabu
mwenyewe nashukuru sana sababu hawakunifundisha!!Nami na washukuru sana walivogoma.
Usijali kitacho patikana shambani tutagawana
Ule mzigo mamsapu sijasahau nakumbuka ntautuma siku yeyote nikitoka pori mie
Hata wine ilishanishinda,hongera kwa kutokuingia kwenye uvutaji sigara. Mtu akiwa addicted ni ngumu kutoka.
Kwa sie tuliobahatika kuupenda muziki na si kwa kuusikiliza tu bali kuucheza pia unatuletea furaha kubwa sana. Halafu kama umewahi kufuatilia watu wakiwa wanacheza muziki hawanuni bali wanatabasamu. Mie huwa siondoki hadi muziki wa mwisho na DJ akiwa anaijua kazi yake vizuri basi saa moja kabla ya kufunga huwapawisha watu kwa kuweka zile nyimbo ambazo ni lazima uzuke kwenye dancing floor. Wazazi waliwahi kuniambia nilianza kupenda muziki katika umri mdogo sana ila sikumbuki kitu mpaka ukiwa ni uko kwenye demu na wazazi pia ni wapenzi sana wa muziki. Hongera kwa kupenda muziki. Achana na hizo za kicongo 😜
hahaha hivi serious unataka ng'ombe kweli mamsapu. utamuweka wapi sasa lakini.mwenyewe nashukuru sana sababu hawakunifundisha!!
Nakuamini sana kwa upambanaji babake, Mungu anitunzie tuu jamani!
Usijali mwaya, siku ukipata nafasi naamini na ng'ombe wangu atatumwa tuu!
Hahaha hahaha hahahahahaha hivi serious unataka ng'ombe kweli mamsapu. utamuweka wapi sasa lakini.
Afu mi sitaniagi navyiongea na wewe huwa
naamisha. na uzuri unalijua hilo mamasapu
Ntaanzaje kukutania; jinsi ya kukufikishia na sehemu ya kuhifadhia najua hauna mamsapu.Hahaha hahaha hahaha
Hivi ulivyosema ati ling'ombe la besidei ulikuwa watania eehhh....
Babake, huwa najua upo serious mpaka naogopa!
Jamani babake!Ntaanzaje kukutania; jinsi ya kukufikishia na sehemu ya kuhifadhia najua hauna mamsapu.
Ila ipo siku ntakushika mkono twende mpaka mbwewe umchukue( hii ni kweli na deni lako) unalo nidai.
Unajua umenifanya nicheke peke yangu iyo sentesi ya mwisho ulivyoimalizia.
Siku ukirudi ubondeini fanya kuniita.Jamani babake!
Ukuje unichukue tuu nimuone ng'ombe wangu!
Usicheke babake, uko serious aki mpaka naogopa!
Hahaha hahaha hahahaSiku ukirudi ubondeini fanya kuniita.
Tutaenda maana hapatakuwa na umbali huo
haha inatokana na ile siku ya kwanza tulipokutana; tulikuwa tukipiga story za kina mtanga lakini ndo nikawa nafunguka kiukweli ukweli. Matani aki sehemu nyingine ila sio kwako
Mimi najikutaga tu ata sielewiHahaha hahaha hahaha
Nikisogea huko nitakujulisha babake!..
Sijajua kwa nini upo serious hivyo jamani babake!
Hahaha hahahaMimi najikutaga tu ata sielewi
Kwani mna nini lakini nyinyi watoto wa kitanga
hahaha ndo nishaweuka ivo etiHahaha hahaha
Usichanganyikiwe sana babake jamani!
Usijali babake!hahaha ndo nishaweuka ivo eti
na dawa yangu ndio wewe ujue.
Unitunze vizuri nisije okota makopo mieUsijali babake!
Mgonjwa wangu jamani!
Kwa kweli mkuu[emoji23][emoji23]Mimi yote nafanya ila club imenishinda,mpaka sasa nimeenda club kama mara 5 ila hua naondoka kabla ya mda na sasa staki kutia mguu huko ata uniambie amekuja msanii gani..sijawai enjoy zaidi ya kero za makelele ya yale maspika!