mkomatembo
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 1,477
- 819
Dah na wivu umenijaa kwa Yummy huwa namuwaza sana aisee bora babu kaachia ngazi nami nianze kusalandia
Dah hapa Yummy umechakachua aisee lolAsprin njoo pande hii uone hii makitu hapa 'MKUU' hahahaaaaaaaaa
Nimekula wa chuya...kumbe huna mpango wa kunifungashia siku ya sendof yangu???sio vizuri hivo dady.Raha ya maisha ya ndoa ni kuanza pamoja. Mambo ya kufungashiana makontena ya nini bana?
Mnakaa na mumeo/mkeo mnatafuta shilingi kwa pamoja na kupanga nini cha kufanya/kununua kwa wakati gani.
Nimekula wa chuya...kumbe huna mpango wa kunifungashia siku ya sendof yangu???sio vizuri hivo dady.
Like, like, like x100000000000000000000000000000
Hitimisho: Kongosho, cacico na BADILI TABIA wataendelea kuwa wake wenzangu(si kwako lakini ujue......wenyewe wanaelewa kila mtu kivyake vyake) UTAJIJUUUU
Asprin una mkono wangu wa pongezi hapo
na viti virefu vinakuhusu
sasa wapi kikao leo
Ila mwangalie sana Erickb52 bado ana hamu na cacico na BADILI TABIA
Deal signed.... Yummy is now yours!!
Kalaghabaho......wenzio wananiita jemadari la mapenzi
Acha longolongo weweeeee...........kama we umeshindwa acha wenzio wafaudu aluuuuuu. Na huwezi mkonvinsi Mr Rocky aachie ngazi ujue
Nimekula wa chuya...kumbe huna mpango wa kunifungashia siku ya sendof yangu???sio vizuri hivo dady.
Ha ha haa imekula kwako hakuna container hapa mnakwenda kuanza kwa pamoja.
Mkifungashiwa macontainer mnakuwa na dharau kwa waume zenu. Hata kitanda cha kulala na mumeo nikununulie mimi!?
Asante kwa ushauri.ila nina mashaka nao mbona hata hujasita au na we wa kulekule na huyo ni kaka yako.
Ha ha ha ha jamani shem nimekukosea nini tena mpaka unanipaka matope kiasi hiki wajaemeni??? Duuuhhhh
He ZD nilikuwa sina habari kama shem wangu ni Dady wako mweeehhh kumbe mie Mama mdogo...........tuheshimiane kuanzia sasa sawa???
Mwita huyo ndugu yako Magessa kanikosea sana mmmhhhh
Hivi huu ufisadi wa kumfisadi wa siri wangu mwaJ nani aliuruhusu? Hommie Asprin unayataka yale ya daudi mfalme na askari wake? Hivi shemeji yangu cacico hukuyaona haya ukanistua? Sweetlo gfsonwin mpz hukuona kama Mwita Maranya ana nia mbaya na msiri wangu?
Kwa nini mnayaruhusu haya yatokee? mwaJ popote ulipo umepewa nini tukirudishe sitaki habari ya simba ya rage na
Mbuyu twite!!