Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?


angekuwepo Natalia angekupa jibu
 
Last edited by a moderator:
mi hapo sion ubaya maaana nyie hamkawii kusema naenda ustawi wa jamii pale mnapokorogana na mmeo hivyo ni bora hata kama ikitokea utaondoka na vitu vyako sio kulilia vitu vya mmeo.
 
Walaaaaaaaa! Mie sijapewa chochote zaidi ya ahadi kem kem toka kwa Mwita Maranya. Yaani alinishushia mistari inashawishi hiyo! Ila nilikuwa bado sijakubali mpaka hapo suala la msingi la usalama wangu litakapowekwa sawa.

Bhaaaas. Come zis way mwaJ
 
Last edited by a moderator:
Mwita Maranya
usikubali mwaya kachague mwenyewe hukooooooo
 
Smile mpz inategemeana na makubaliano yako ww na mumeo...nikimaanisha kama mnajuana hali zenu na mkakubaliana kusaidiana mana mmoja wenu hajiwezi na mumependana sana sio mbaya ni vizuri tu kuenda na kila kitu ikiwa ni kwa mantiki iyo
ila kuna wale wenzangu na mie wanapenda kuonekana wao ndio baba mwenye nyumba kwa kujidai kwao wanauwezo ivo hapo anunua kila kitu na wakifika ndani huyo mume atajuta kumfahamu mana hayo manyanyaso ya yesu msalabani yakasome
NB: ivo inategemea umenunua hayo mavitu yote na unaenda nayo kwa mumeo kwa makusudi gani..je kusaidiana ama unaenda kumuonesha kua na ww unaweza na unazo????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…