Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@King'asti hujanielewa ..ngoja nikuulize binti yako akiwa anaolewa utamnunulia kila kitu ?
so upo tayari kukaa kwenye nyumba ambayo kila kitu ni cha mke ..?
mi hata begi sina
Hakuna tatizo nikukipiga talaka si unaleta Fuso unaondoka navyo na kurudi kwa mama yako
Mi nipo tayari kuhamia kwa wife na kukaa kwenye nyumba yake tukizinguana na beba malboro yangu begani huyoo uswazi
mi hata begi sina
aya maaaa..i wish ungekuwa mamamkwe wanguWhatever i can afford, inshaallah! Isipokuwa sitowapa nyumba, labda kiwanja tena siku ya harusi manake nawapa wote wawili. Na hata kama nna nyumba mia mjini, hawatakaa kwenye nyumba yangu na wala sitawapangisha! Lakini zawadi nitawaambia wajadili na mwenzie nijue what they want. Actually sikawii kuwapa chance ya kuchagua their style and taste.
Kwangu mie mama mkwe is my mother, na mume wa mwanangu is my son na nitam-treat like one of my own! Manake hata mwanangu hatokaa nyumba yangu, i hate mamaz boys.
Inategemea kama mme hana kitu au kuna baadhi yavitu vinamiss then sio vibaya kwenda navyo, hata hivyo me nachojua NYUMBA NI MWANAMKE so ni wewe kama unataka nyumba yako ionekaneje ndio utaifanya so kwa mfano mie napenda myumba nzuri yenye vitu vizuri tena vya kisasa ivutie haswaaa.Helo my dears
kwanza nianze na story hii
juzi nilienda kwenye kitchen party ya rafiki .wakati wa zawadi mamayake kumbe alienda china kafungasha contena lina kila kitu cha ndani kilazagazaga
vitanda,magodoro ,sofa ,majiko ,friji ,radio ,matv, taulo yaaanikila kitu ambacho kinatakiwa kiwe ndani ya nyumba ya mtu hadi kijiko
kijana aliemuoa huyo dada ni mtu wa kawaida tu kwa kweli ,hata kujenga bado
sasa najiuliza hili limekaaje wadau
hivi ni sawa kwa mwanamke ukiolewa kwenda na kila kitu kwamume au ni vizuri kwenda na begi lako la nguo tu?
acha tu dear pesa?????????????
Whatever i can afford, inshaallah! Isipokuwa sitowapa nyumba,.
mmmh wanaume wana kazi...mimi tutanunua woteInategemea kama mme hana kitu au kuna baadhi yavitu vinamiss then sio vibaya kwenda navyo, hata hivyo me nachojua NYUMBA NI MWANAMKE so ni wewe kama unataka nyumba yako ionekaneje ndio utaifanya so kwa mfano mie napenda myumba nzuri yenye vitu vizuri tena vya kisasa ivutie haswaaa.
MWANAMKE NYUMBA DIA KAMA UMEPEWA NENDA NA KILA KITU TENA UTAKAVYOKUTA GAWA UWEKE VIPYAAAAAAAAAAAAAAAA
Mi nipo tayari kuhamia kwa wife na kukaa kwenye nyumba yake tukizinguana na beba malboro yangu begani huyoo uswazi
Kumpa nyumba mkweo ya kuishi na bintiyo ni ishara ya ukomavu wa makuzi na malezi ukiwa mzazi
haswaaaaa,,,,,si mali yake bhana?????
duh,huyo mama noma. hataki mwanae aende kuteseka. kuna kigogo mmoja jina kapuni, ye akiozesha binti zake anawambia mumeo akikuzingua rudi. na akirudi anampa kazi katika moja ya makampuni yake na kumlipa mshahara kama wafanya kazi wengne. chezeiya pesa wewe!
mmmh wanaume wana kazi...mimi tutanunua wote
mmmh wanaume wa sasa hivi kumbe ndo maana sipati mpenzi ..ngoja nianze kusema nina nyumba namalizia mbezi beach