Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

sijui kwa kweli ndugu yangu...mimi nimeona ajabu kweli ..zawadi zingine mitihani bwana
I'm trying to imagine hizo zawadi (vitanda,friji,TV) zitawekwa wapi hapo nyumbani. na kwa nini kijana unaoa wakati huna kitu, mkeo akiwa pregnant na hawezi kazi nzito utaweza kumhandle kweli? sipingi mke kuja na vitu vyake lakini if she comes with kila kitu then what type of man are you? uliishije b4 her
 
mi sijui bwana mambo ya pwani eti...wanafanya maisha kuwa tu magumu..sasa k na nazi wapi na wapi? ndop maana fangasi zimekuwa janga la kitaifa

Kumbe kuna kila sababu ya kuonja ladha ya mzanzibari, naona mambo iko kule! lol
 
hata mimi nashindwa kuelewa hawa watu wana akili gani ..iyo hela si wafungue hata duka
 

Wewe hujui kuna wakwe wengine ni machizi kuna wazazi ambao wanampa mtoto wao wa kike nyumba alafu kasheshe huyo mwanaume anazopata ndani ya nyumba mh But naweza kukuambia sidhani kama huyo mwanaume au familia yake iko totally Ok with the situation
 
iyo poa ...mtu kukupa hela ni kitu kingine bora hela kuliko mwanaume kupewa kitanda cha kulala na mamamkwe ..hun mikono mi naona ni fedheha kwa kweli

Mpenzi sasa mbona hiyo hiyo hela ndo atakayoenda kuinunulia vitanda???!!!!si bado kitanda kitakua kimenunuliwa na mama mkwe???!!!!
 

Umeacha hii thread imefika hadi huku
na ujinga woote huu?
Siku hizi watu hawajui 'the joy of achieving something small for yourself'...
 
Mpenzi sasa mbona hiyo hiyo hela ndo atakayoenda kuinunulia vitanda???!!!!si bado kitanda kitakua kimenunuliwa na mama mkwe???!!!!
hata nitalipia hela ya kusafirisha kupeleka nyumbani mweee!
 
smile camon dont let me down,mbona ivyo ni vitu vya kawaida kama wazazi wa mke wamewanunulia hao couple vitu its not bad,na huyo mme i dont think kama alipenda kuwa kiato cha kawaida,ipo siku atapata nae riziki tu na income ya kutosha.toa hayo mawazo mgando on ur mind kwamba mwanamke anatakiwa awe supplied everythng na mme wake, ndio maana mnadharauliwa sometimes....ni hayo tu!
 
khaaa!
 
Ni mawazo mgando tu kudhani mwanamke hana cha kuchangia kwenye ndoa yake..
Hata kama ni kontena la vyombo bado ni haki ya mwanamke kuchangia..kwa sababu na yeye anaishi na kutumia the same stuffs..so why not should her bring her own materials if at all she has that backup??..Ukija na vyombo unanisaidia na mimi naconcentrate kwenye mambo mengine ya msingi!...
 
hatuzungumzii vyombo mkuu ..kila kitu vitanda radio matv kila kitu ndani yaani kila kitu cha ndani
 
hatuzungumzii vyombo mkuu ..kila kitu vitanda radio matv kila kitu ndani yaani kila kitu cha ndani

Nilimaanisha hivi hivi..ndio maana nikauliza kwamba si hata mwanamke naye anavitumia?..au anamletea tu mumewe na yeye anasepa zake??
 
so hata kitanda cha kulalia wewe hapo na mkeo mamamkwe akikupa poa tu

Hapa ndipo wengi tunapokosea..yaani tunachukulia ukweni kama kitu cha ajabu sana..
Ndoa sio sehemu ya kuoneshana umwamba na nani anazo...
Mamamkwe anaweza kukupa MTAJI na ukafanya maisha pia..na pia babamkwe anaweza kukupa kampani kama mwanae..
Binafsi bado naamini uwepo wa 'equity and equality' kwenye ndoa aiseee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…