Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
heti hadi kitanda cha kumlia mkeo tunda upewe na mama mkwe ni sawa kweli?
hahahaha haya matusi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heti hadi kitanda cha kumlia mkeo tunda upewe na mama mkwe ni sawa kweli?
I'm trying to imagine hizo zawadi (vitanda,friji,TV) zitawekwa wapi hapo nyumbani. na kwa nini kijana unaoa wakati huna kitu, mkeo akiwa pregnant na hawezi kazi nzito utaweza kumhandle kweli? sipingi mke kuja na vitu vyake lakini if she comes with kila kitu then what type of man are you? uliishije b4 hersijui kwa kweli ndugu yangu...mimi nimeona ajabu kweli ..zawadi zingine mitihani bwana
mi sijui bwana mambo ya pwani eti...wanafanya maisha kuwa tu magumu..sasa k na nazi wapi na wapi? ndop maana fangasi zimekuwa janga la kitaifa
hata mimi nashindwa kuelewa hawa watu wana akili gani ..iyo hela si wafungue hata dukaI'm trying to imagine hizo zawadi (vitanda,friji,TV) zitawekwa wapi hapo nyumbani. na kwa nini kijana unaoa wakati huna kitu, mkeo akiwa pregnant na hawezi kazi nzito utaweza kumhandle kweli? sipingi mke kuja na vitu vyake lakini if she comes with kila kitu then what type of man are you? uliishije b4 her
mtotowamjini hivyo vitu vitakuaje vya kwake iwapo alimnunulia zawadi mwanae???kama vyake si angepeleka nyumbani kwake???. Ina maana mie nikikununulia zawadi ya viatu siku nikija kwako naweza kuvichukua tu na kuvivaa sababu nilinunua mimi???!!!!aiseeeeee hii kiboko
iyo poa ...mtu kukupa hela ni kitu kingine bora hela kuliko mwanaume kupewa kitanda cha kulala na mamamkwe ..hun mikono mi naona ni fedheha kwa kweli
Lakini hii huwa haisaidii sana kwenye ndoa. binti anakuwa na kiburi cha pesa na kijana anakuwa na hofu ya pesa hizo ukweni,hakuna ndoa hapo!wazazi huwa tunaamini kuwapa kila kitu vijana au mabinti kunawapa push lakini kiukweli vitu vile huwa ni moja ya sababu kubwa sana zinakuja kuwavuruga baadae.though nia huwa ni nzuri lakini utekelezaji wake ni hovyo sana,maneno kama unaringia pesa ya kwenu,bila babako kukupa kiwanja ungejenga wewe,hunitishi lolote nilikuja hapa na kila kitu changu,and sort off!zawadi si lazima iwe in terms of tht mavitu,hebu tubadili namna ya kufikiri kidogo!
mimi nisie na hata na kijiko na mama yangu yupo hoi kitandani .. nitapata mtu kweli maana naona wakaka hapa ??????????????
khaaa!smile camon dont let me down,mbona ivyo ni vitu vya kawaida kama wazazi wa mke wamewanunulia hao couple vitu its not bad,na huyo mme i dont think kama alipenda kuwa kiato cha kawaida,ipo siku atapata nae riziki tu na income ya kutosha.toa hayo mawazo mgando on ur mind kwamba mwanamke anatakiwa awe supplied everythng na mme wake, ndio maana mnadharauliwa sometimes....ni hayo tu!
ahahaa kuna zawadi na zawadi bwana ..hadi vitanda vya nyumba nzima?
hatuzungumzii vyombo mkuu ..kila kitu vitanda radio matv kila kitu ndani yaani kila kitu cha ndaniNi mawazo mgando tu kudhani mwanamke hana cha kuchangia kwenye ndoa yake..
Hata kama ni kontena la vyombo bado ni haki ya mwanamke kuchangia..kwa sababu na yeye anaishi na kutumia the same stuffs..so why not should her bring her own materials if at all she has that backup??..Ukija na vyombo unanisaidia na mimi naconcentrate kwenye mambo mengine ya msingi!...
hatuzungumzii vyombo mkuu ..kila kitu vitanda radio matv kila kitu ndani yaani kila kitu cha ndani
so hata kitanda cha kulalia wewe hapo na mkeo mamamkwe akikupa poa tu