Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake .
Mh Mbowe amelitendea haki Taifa , kwa kuwapika vijana, leo chadema ni Taifa jingine .
Tumeanza kuona ccm inapigwa kama ngoma chini ya uongozi mpya wa chadema.
Mbaya na kutosha M/ mwenyekiti Chadema anasema KAMA KWENDA MBINGUUNI Gharama ingekua elfu 20 ,watz tusingetoboa.
Kwa mjinga / chawa , hawezi elewa maneno haya maana uchawa ni laana,
Note
Namtaka M/ mwenyekiti ccm jibu hili kama kweli yupo na ubavu.
Tulisema na nasema ,wasira ameyatinga .
Wasira njoo hujibu,vinginevyo punguza kamdomo