Shalom
JF-Expert Member
- Jun 17, 2007
- 1,315
- 125
Jamaa yako hana jipya siku hizi.... Choka mbaya!
KUna watu walikuwa wanakutetea kuwa eti wewe sio kilaza kwa sababu ulileta nondo za mazingira. Haya jioneeni wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yako hana jipya siku hizi.... Choka mbaya!
Umejichokea sana
___________________
Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problems,
But, if you think again, neither does milk."
Vituko Vya Zenj
matendo yake ya kitoto kwa kweli yanaudhi na kuutangazia ulimwengu ni mtu gani anaeiongoza nchi yetu.Raisi anayejipendekeza kwa celebrities kama vile na yeye ni mtoto wa miaka 20 hatufai. Nadhani Drogba na wenzake watakuwa sasa wanaishangaa sana TZ kwa kuwa na raisi mshamba na mwenye tabia za kitoto.
Raisi anayejipendekeza kwa celebrities kama vile na yeye ni mtoto wa miaka 20 hatufai. Nadhani Drogba na wenzake watakuwa sasa wanaishangaa sana TZ kwa kuwa na raisi mshamba na mwenye tabia za kitoto.
1.Mwanakjiji ulishanzisha thread sababu 51 kwanini Kikwete hafai kuogembea tena nafikiri hizo hoja zako zipeleke kwenye hiyo thread siyo kila baada ya siku mbili kutufungulia thread mpya kuhusu Kikwete,ina bore kwa kweli!
2.Navyo jua mie katika serikali ofisi ya waziri mkuu ndiye aliyepewa jukumu la maafa katika serikali na ina waziri anayeshuguhulikia masuala ya maafa kwani hao wameshaenda huko?Why kikwete only?Kwa kuwa Rais kila jambo afanye yeye?
mimi nalia na washauri wake. Wafukuzwe kazi wote
mimi nalia na washauri wake. Wafukuzwe kazi wote
Kuna mambo yanapotokea taifa linamhitaji Rais wake kuonesha uongozi; wakati watu zaidi ya 25,000 Kilosa peke yake hawana makazi tunahitaji kusikia Rais akilihamasisha Taifa; Hivi kweli wameshindwa kuhamasisha misaada kutoka sehemu mbalimbali za Watanzania tuchangie nguo, vyakula, n.k?
siyo kwenda tu; ni kuonesha uongozi wa kutatua matatizo ya wahusika. hivi unafikiri wale watu wa Kongwa na Kilosa au kule Lindi walikuwa wanafikiria mechi ya Ivory Coast?
Nadhani ni mpaka aende nje ya nchi kutafuta misaada.
Hivi amefanikiwa kiasi gani tangu aanze jitihada za kutafuta misaada nje ya nchi? Isije ikawa anatumia pesa nyingi anazopata misaada sehemu nyingine kuzungukia sehemu ambazo hapati kitu.