Kwenda nyumba ya Ibada mara kwa mara

Kwenda nyumba ya Ibada mara kwa mara

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
909
Reaction score
1,717
Habari wakuu,

Mimi sio Mwandishi mzuri sana naenda kwenye Mada husika hivi mtu akishahitimu Chuo si anakuwa amemaliza. Na haitajiki kurudi mara kwa mara chuoni.

Sasa swali lilipo mbona hizi dini mtu alishabatizwa akapata Komunyo/Kipaimara au hata mafunzo ya ndoa sasa kuna uliza gani wakurudi Kanisa kila jumapili wakati keshapata mafunzo ya kutosha au hapo mimi ndio sielewi
 
Habari wakuu......
Mimi sio Mwandishi mzuri sana naenda kwenye Mada husika hivi mtu akishahitimu Chuo si anakuwa amemaliza. Na haitajiki kurudi mara kwa mara chuoni. Sasa swali lilipo mbona hizi dini mtu alishabatizwa akapata Komunyo/Kipaimara au hata mafunzo ya ndoa sasa kuna uliza gani wakurudi Kanisa kila jumapili wakati keshapata mafunzo ya kutosha au hapo mimi ndio sielewi
Faida ya kurudi kila Jumapili na kila ibada/misa ni kujenga Umoja(Brotherhood).
Hakuna kitu cha muhimu mkubwa kama Ushirikiano, kila misa ya Jumapili kuna mafundisho utapewa kwa ajili ya kujengwa kiimani na kiimaadili.

Ndio umepewa mafunzo ila it's not enough, kumbuka dunia ni shule na hakuna kuhitimu moja kwa moja, tunajifunza kila siku.

Mapadri na Maaskofu na Wachungaji wana highest form of learning(wana mpaka PhD ya Theology na wengine Demonoloogy )na wanajifunza kila siku kwa ajili yetu, wewe siku 6 hugusi hata Maandiko ila kupitia wao unapata Maandiko na maana yake.

Faida nyingine kupitia ushiriki wako wa Misa na ibada za Jumapili, unakuwa mshirika halisi na hata kupata upendo na msaada wakati wa tatizo linapokukumba.
 
Ule mkutaniko wa jumapili unaitwa ushirika. Kikubwa pale ni social gathering. Ambayo inatusaidia kuondoa stress, hasira na shida zingine. Mental health inatengenezwa pale.
Mi nikienda church nikaimba nyimbo nikaruka ruka stress zote kushneh. J3 naanza upya😆
 
Habari wakuu......
Mimi sio Mwandishi mzuri sana naenda kwenye Mada husika hivi mtu akishahitimu Chuo si anakuwa amemaliza. Na haitajiki kurudi mara kwa mara chuoni. Sasa swali lilipo mbona hizi dini mtu alishabatizwa akapata Komunyo/Kipaimara au hata mafunzo ya ndoa sasa kuna uliza gani wakurudi Kanisa kila jumapili wakati keshapata mafunzo ya kutosha au hapo mimi ndio sielewi
Una miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom